International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi wa China Xi Jinping ndiye mtu mwenye ushawishi Zaidi duniani, kwa mujibu wa jarida la Forbes. Amechukua nafasi hiyo baada ya bunge China kumpa mamlaka zaidi na kuondoa kikomo muhula wa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali ya Gambia imeamua kuuza ndege za serikali zilizo nunuliwa kwa matakwa ya Rais na baadhi ya magari ya kifahari ili kulipia madeni lukuki inayo daiwa nchi hiyo,sisi tumo tu
7 Reactions
75 Replies
5K Views
Msichana mmoja nchini India amebakwa na kuchomwa moto hadi kufariki na watu hao waliombaka huko nchini India. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 16 alimwagiwa mafuta na kuchomwa moto akiwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Israel anaomba warabu wamsaidie iliwapigane na Iran. Waziri wa majeshi ya Israel anasema Saud Arabia ijitokeze pamoja na Gulf state. Anasema ni USA, Israel na Gulf state(Saud Arabia, UAE na...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekua nikitafakari na kujiuliza kwann katika misafara au magari ya marais ama viongozi wakubwa duniani hutumika magari yenye rangi nyeusi, wajuvi naomba watueleze kuna nn katika...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Mahakama moja nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mwenye umri wa miaka 19 kwa kumuua mumewe aliyembaka Jaji wa mahakama hiyo iliopo Omdurman alithibitisha hukumu hiyo ya kifo baada ya familia...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Marekani Imetangaza vikwazo dhidi ya Iran. Trump amesema kuwa U.S haipo Tayari kulinda makubaliano ya Iran kuhusu Nyuklia badala yake ameiwekea vikwazo Iran pia amesema wakiendelea na program...
4 Reactions
140 Replies
11K Views
Ajira ni kizungumkuti popote Duniani. 28 million apply for 90,000 jobs with India's railway company | DW | 31.03.2018
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwanasayansi David Goodall amehitimisha safari yake ya hapa duniani baada ya kujichoma sindano mwenyewe ya sumu iliyochukua dakika moja kuchukua uhai wake. Mwanasayansi huyo mwenye miaka 104...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini Azuru China. North Korean Supreme Leader Kim Jong Un amezuru China kwa Siri ambapo Kim amekutana na Raisi wa China Xi Jinping.Viongozi wote wavili wamekutana Kaskazini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Mahathir Mohamad ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu mpya, miaka 15 baada ya kujiuzulu wadhifa huo alioushikilia kwa zaidi ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hasira na gadhabu imetawala huko tehran baada ya rais trump kujitoa kwenye nuclear deal na kuitangazia iran vikwazo vikali vya kiuchumi, wabunge wa iran leo wakiongozwa na mwanazuoni mmoja wa...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
The Basic Registry and Information System in Nigeria (BRISIN) has called for urgent sensitisation against the use of pit latrine because many youths now sniff latrines as substitute for codeine...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
North Korean Supreme Leader Kim Jong Un Kukutana na Donald Trump siku mbili kabla ya Kombe la Dunia June 12 huko Singapore . Tangazo hili limefuatia baada ya Trump kuwapokea Raia wa U.S waliokuwa...
1 Reactions
0 Replies
681 Views
Nine Iran-linked fighters reported killed in alleged Israeli strike on Syria
1 Reactions
90 Replies
8K Views
NEW PHOTOS: These photos reportedly show North Korean leader Kim Jong Un meeting with U.S. Secretary of State Mike Pompeo today. The photos were released by North Korea's Korean Central News...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
By Azimazi Momoh Jimoh, Segun Olaniyi and Opara George (Abuja), Murtala Adewale (Kano) and Njadvara Musa (Maiduguri) | 10 May 2018 | 4:23 am Inspector General of Police (IGP), Ibrahim...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
MAREKANI: Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter atoa taarifa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo yuko njia kutoka Korea Kaskazini akiambatana raia 3 wa Marekani...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
TEL AVIV, ISRAEL: Wanawake 5,000 waandamana bila ya kuvaa kitu katika vifua vyao wakipinga unyanyasaji wa kijinsia > Wanawake hao wamepaza sauti kukemea ubakaji na mfumo wa utoaji haki(Mahakama)...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Mkurugenzi Jean-Marc Janaillac aliyejiuzulu Bruno Le Maire, Waziri wa Uchumi wa Ufaransa, amekataa wazo la kutaka serikali iliokoe shirika la ndege la Air France katika kipindi kigumu cha migomo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…