Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba amejiuzulu nafasi yake hiyo leo Jumanne Novemba 13, 2018, kufuatia kuandamwa na tuhuma za kudanganya serikali na Umma wa watu wa Afrika...
Viongozi wakuu wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo wamemchagua mfanyabiashara maarufu nchini humo Martin Fayulu kama mgombea wao katika kinyang'anyiro cha uraisi katika uchaguzi...
Kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusitisha mapigano, baada ya ghasia baina yake na Israel ambazo ni kubwa zaidi kwa miezi mingi.
Inaarifiwa kuwa...
Press Statement
Heather Nauert
Department Spokesperson
Washington, DC
November 9, 2018
The United States government is deeply concerned over escalating attacks and legislative actions by the...
Walitekwa usiku wa Jumapili Novemba 04, mwaka huu katika shule ya Kiprotestanti huko Bamenda katika eneo linalozungumza Kiingereza, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo
Waziri wa Mawasiliano wa nchi...
Mahakama ya Juu nchini Sri Lanka imepindua maamuzi ya kuvunjwa kwa Bunge yaliyotolewa na Rais Maithripala Sirisena.
Mahakama pia imesitisha mipango ya kufanya uchaguzi wa dharura mwezi Januari...
Kuna tofauti kubwa kati ya Zionism na Judaism.Zionism ni philosophy wakati Judaism ni religion.
Yet kuna Wa-Africa wanawaabudu hawa .Wa-Africa tujitambue
Hashtag #I have no white...
Mkuu wa NATO aionya Ulaya kuhusu mipango yake ya kijeshi
Katibu Mkuu wa umoja wa kujihami wa NATO Jens Stoltenberg ameionya Ulaya dhidi ya kuhujumu ushirikiano wake na Marekani, baada ya...
Video ya ngono inayomuhusisha Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Afrika Kusini, Malusi Gigaba imevuja mtandaoni. Yeye asema alirekodi kwa matumizi binafsi
Waziri Gigaba amesema kuwa video...
Ethiopia imewakamata watu 63 wanaotuhumiwa kwa ufisadi na kukiuka haki za binadamu, wakiwemo maafisa wa upelelezi, wanajeshi na wafanyabiashara.
Kamata kamata hiyo ya vigogo ni matokeo ya amri ya...
Couple to be sentenced for naming baby after Adolf Hitler
A neo-Nazi couple await sentencing after been convicted of being part of a terrorist group and also naming baby after Adolf Hitler.
Adam...
I understand the two reasons that, the "US wanted to contain the spread of communism to the developing countries especially during the cold war", and "the massive initial fund that US contributed...
Obama akihojiwa na Bwan Macklemore kasema alitumia sana pombe, madawa ya kulevya na sigara wakati wa ujana wake. Kasema lakini alifanikiwa kuacha, kasoro sigara ndiyo zilimsumbua kuacha...
Obama...
Nigeria imeteua kamanda mpya wa kuongoza operesheni ya kupambana na kundi la Boko Haram, ukiwa ni uteuzi wa tano wa aina hiyo katika kipindi cha chini ya miaka miwili.
Nigeria imemteua kamanda...
Nimeona tushirikiane katika hili. Angalia na sikiliza vizuri hii video; .
Utaona kuwa, kuna mpango kabambwe wa kuhakikisha kuwa Ngozi nyeusi inafutika katika ramani ya dunia. Mpango huo...
Many people in Sweden have been starting to get chipped since the spring of 2018. People get a chip surgically inserted between their thumb and index finger which then replaces all plastic cards...