Why is it that the World Bank's President MUST come from USA?

henerco

Member
Aug 11, 2013
5
4
I understand the two reasons that, the "US wanted to contain the spread of communism to the developing countries especially during the cold war", and "the massive initial fund that US contributed as a starting capital. Why must it be that way until now?, I thought it was enough for the last 73 years. Are these two reasons enough to rely on?, if so, until when then?, are there no other merits to consider?. Please may someone articulate this with reliable information from disciplines like global political economy etc.
 
Ulitaka atoke Bongo? Mngemteua nani kupeperusha bendera yetu labda? Ni waziri yupi wa fedha mstaafu au gavana yupi mstaafu wa BoT au kamishna yupi mstaafu angefit kwenye hiyo position kwa maoni yako?

Au ni wale waliotuaminisha VAT kutuma pesa kwa simu haimhusu mwananchi? Mwingine nasikia kavuliwa hadi ubalozi maana ndani miaka mitatu katika position 4 alizobadilishiwa hana anapo-fit.
 
Bro mbona povu sana?

Back
Top Bottom