International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mahakama ya Juu ya nchini DR Congo imemtangaza kiongozi wa Upinzani, Bw. Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais baada ya kutupilia mbali pingamizi la mpinzani wake, Martin Fayulu...
4 Reactions
91 Replies
11K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Juan Guaido amejitangaza kuwa yeye ni Rais halali wa Venezuela badala ya Nicolas Maduro na ameshatambuliwa na Rais Trump pamoja na nchi 5 za amerika ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina...
9 Reactions
353 Replies
34K Views
Vincent Vetromile, Brian Colaneri and Andrew Crysel Vincent Vetromile, Brian Colaneri na Andrew Crysel (kushoto kwenda kulia) pamoja na mvulana wa miaka 16 wanashitakiwa kwa kupanga shambulizi la...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila baada ya mita kama 100 kuna askari watatu au wanne, full combat wakiwa na mitutu. Wenyewe wanyarwanda wanatembea tu bila hofu, lakini mimi imenikera sana kuishi maisha ya mashaka namna hii...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
11 Reactions
17 Replies
3K Views
Mahakama Kuu nchini Marekani imemruhusu Rais Donald Trump kutekeleza sera yake ya kupiga marufuku watu waliobadilisha jinsia zao kutumikia Jeshini - Majaji watano wamepiga kura ya ndiyo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Askari 10 wa Umoja wa Mataifa (Minusma) kutoka Chad wameuawa na wengine zaidi ya 25 wamejeruhiwa katika shambulio lililotokea katika eneo la Aguelhok, kilomita 250 Kaskazini mwa Kidal, Kaskazini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu 13 wameuawa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, siku chache kabla ya kuanza duru mpya ya mazungumzo ya amani kati ya serikali na makundi ya upinzani. Vladimir...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DRC: Polisi yamzuia Fayulu kuhutubia wafuasi wake Polisi wamezuia wafuasi wa Martin Fayulu kukusanyika kwenye makao makuu ya chama chake alitakorajiwa kuwahutubia. Ingawa Korti ya Katiba...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Marekani, nchi hiyo imefanya mashambulizi ya anga katika ngome ya kikundi cha kigaidi cha Al-Shabaab jana Januari 19 nchini Somalia Taarifa hiyo...
3 Reactions
37 Replies
10K Views
Serikali imeamuriwa kurudisha huduma ya mtandao(internet) ili Wananchi wapate fursa ya kutumia motandao ya kijamii Mahakama ya Juu ya nchi hiyo imesema kuwa Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Minister says France creates poverty in Africa By Socrates Mbamalu on January 22, 2019 — Luigi Di Maio, Italy’s Deputy Prime Minister has infuriated France with his comments that France has “never...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Sasa siyo siri tena kwamba Afrika nzima Simba wa Nyika amebaki mmoja tu nae ni Rais wa sasa wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe na huenda siku ambayo Mwenyezi Mungu ataamua kumchukua huyu Mzee basi...
54 Reactions
283 Replies
25K Views
Jeshi la Israel linasema limeanza kushambulia maeneo yanayodhibitiwa na jeshi la Iran nchini Syria. Kikosi cha ulinzi Israel (IDF) kinasema operesheni yake ni dhidi ya kikosi cha Quds - kikosi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Prince Philip mwenye umri wa miaka 97 alikuwa anaendesha gari aina ya Range Rover na amepata ajali na gari lake kupinduka. Prince Philip ni Mume wa Malkia Queen Elizabeth wa Uingereza. Prince...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye Hard Talk ya BBC, nimesikitika SI KIDOGO! Ila wakati mwingine upinzani ukiuendesha pasipo kutumia hekima ya hali ya juu, unaweza ukajikuta umeshakuwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Daniel Van Heerden ambaye Ni raia wa kizungu aishiye Afrika kusini ameuawa baada ya kupigwa risasi na raia asilia wa South Africa baada ya kutokea majibizano makali,ambapo mzungu huyo ambaye sio...
15 Reactions
55 Replies
8K Views
Mkakati wa Amerika Nchini Afghanistan on November 5, 2018 بسم الله الرحمن الرحيم Swali: Mnamo Agosti 15, 2017, kundi la Taliban lilituma barua ya wazi kwa Raisi wa Amerika likitoa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
wizara ya ulinzi ya urusi imedai mashambulizi ya anga ya israeli nchini syria yameua wanajeshi wanne wa syria na wengine 6 kujeruhiwa usiku wa jana kwa upande wao wamedai walikuwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…