Israeli airstrikes killed 4 Syrian servicemen, left 6 wounded – Russian MoD

nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
7,335
8,116
wizara ya ulinzi ya urusi imedai mashambulizi ya anga ya israeli nchini syria yameua wanajeshi wanne wa syria na wengine 6 kujeruhiwa usiku wa jana
kwa upande wao wamedai walikuwa wanashambulia vituo vya kijeshi vya iran pia wamesema walifanikiwa kushambulia mfumo wa ulinzi wa anga wa syria ndani ya ,masaa 48 yaliopita, haya yamekuja baada ya hapo juzo osraeli kusema imetungua rocket lililorushwa toka syria kuelekea eneo la golan na kuahidi kulipa kisasi

Kimbsboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tudanganye kidogo ,kazi yake ni ipi?kwa nini URUSI alizipereka? serikali ya Russia ilisemaje baada ya dege lake kijeshi kudunguliwa na jeshi la ASSAD?
Wote wale uwaonao wapo Syria iwe Us, Iran, Uturuki na wengineo Ni maslahi tu...kila anachokifanya na anachotaka kufanya Israel nchini Syria Urusi marekani wanajua, wajinga ndo waliwao...tokeni mipovu wenyewe yao yanatimia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wale uwaonao wapo Syria iwe Us, Iran, Uturuki na wengineo Ni maslahi tu...kila anachokifanya na anachotaka kufanya Israel nchini Syria Urusi marekani wanajua, wajinga ndo waliwao...tokeni mipovu wenyewe yao yanatimia....

Sent using Jamii Forums mobile app
jibu hoja ,kama ukijibiwa unasema wanatoa povu vp wew unatoa nini,kamasi!!jibu hoja sio kuleta vioja.
 
Russia pasua kichwa kweli yani nimesoma article fulan mahala ni ivi Russia anachofanya Syria ni kujaribu kumtumia mu Israel ili kupunguza nguvu ya Wa Iran maana Assad ana mafungamano ya Kidini na Washia wa Iran na Russia anaoa hilo.... Huwezi kuamini shambulio la Jana usiku Israel anasema kua Ali coordinate na Russia kua na Russia akamoa Go ahead....Imagine 2 pantsir airdefence systems ziliaribiwa na ambazo zilikua idle au ammunition zake ziliisha ili pekee ilitosha kumkasirisha mRusi kwann Israel ime target hizo system nauku makubaliano yao ni kuharibu Silaha za Iran ambazo anataka kuwapelekea Hezbollah apa unaona kabisa Mrusi akishirikiana na Israel.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachojua, Mrusi anamuogopa sana mu Israel sbb ya Mmarekani na sbb ya pili most richest and intelligent people in Russia are jews, just like USA..

Sasa kwa uhakika, Mr. Putin anaogopa sana kuigusa Israel, sbb anajua mwisho wake utafika.. So Syria imekuwa sehemu ya kuuza tu silaha zake na pamoja na kuuziwa mitambo ya S-300 bado wanapigwa kila siku.. Israel kwa kweli IQ yao ni kubwa mno mnooo dunia hii..!!
 
Hii michezo yote ya wayahudi
 
Russia anajaribu kuepusha mgogoro na israel.sababu1;; kambi ya Russia nchini Syria haina uwezo wa kupambana na Israel. 2 Russia na Israel Ni nuclear Powers 3: Russia anaepusha kuprovoke zaidi Syrian conflict kwa kuwasuport syriAn with advanced weapons.
But infact Russia wangeamua kuwauzia wasyria latest technology ya missile Kama vile iskander M, cdhani Kama Israel wangeendelea na huu mchezo..( ninavyoelewa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom