North Korea has demanded the immediate return of a cargo ship seized by the US, branding the move an "unlawful robbery".
Last week the US justice department accused Pyongyang of violating...
MAREKANI NI TAIFA BABE,VAMIZI NA HARAMIA, MASLAHI YAKE POPOTE DUNIANI IMEKUWA CHANZO CHA MIGOGORO ULIMWENGUNI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -22/3/2019.
Dumila -Kilosa,Morogoro-Tanzania...
Mtangazaji BBC atimuliwa kazi kwa kuwakashifu wana ufalme kupitia mtandao wa twitter.
BBC fires presenter over royal baby chimp tweet
Broadcaster Danny Baker has been fired by the BBC over his...
Habari wanajukwaa,
Majuzi tar 10 May 2019 nilikutana na Mjadala nikiwa katika Mji mmoja mkubwa nchini Libya ambao ni mji wa Tripoli. Mjadala huo Ulikuwa ukifanywa na Wageni wa Nchi hiyo nao...
MJUE EDWARD AKUFO-ADDO RAIS WA 5 WA GHANA, BABA MZAZI WA NANA DANKWA AKUFO ADDO RAIS WA 12 WA GHANA.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Monday -7/1/2019
Edward Akufo-Addo alizaliwa Juni 26,1906 na...
Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.7 kipimo cha richa, limetokea leo katika pwani ya kisiwa cha New Britain nchini Papua New Guinea na kuibua hofu ya kutokea tsunami katika pwani zilizopo Kilometa...
Watu wenye silaha wamemuuwa kasisi mmoja na waumini watano wakati wa sala ya Jumapili katika shambulizi kwenye kanisa katoliki kwenye mji wa Dablo, kaskazini mwa Burkina Faso. Vyanzo vya usalama...
Kwenye mambo ya kijeshi Israel ni sawa na Brazil kwenye soka. Achana na ushabiki kama huo, jana Channel 2 ya Israel imeripoti mahojiano na Ehud Barak kuwa walifikiria mara tatu kusihambulia Iran...
Siasa za kimaonyesho za Trump za kuitaka Iran ifanye mazungumzo naye
Mei 10, 2019 13:13 UTC
Katika kipindi cha masaa 24 tokea Iran itangaze rasmi kwamba itapunguza ushirikiano wake na pande husika...
Kundi linalojiita dola la Kiislamu IS, kupitia chombo chake cha habari cha AMAQ, limekiri kuwaua wanajeshi 11 nchini Nigeria katika shambulio Kaskazini Mashariki mwa mji wa Gajiganna.
Kundi hilo...
Waandishi habari katika kampuni 13 za vyombo vya habari Uganda, walioagizwa wasitishwe kazi na mamlaka ya mawasiliano nchini, wanawasilisha kesi kesho Jumatano kupinga agizo hilo.
Mamlaka ya...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha KwaZulu Natal amekamatwa kwa tuhuma za udanganyifu kwa wafanyakazi wa Migahawa ya KFC mjini Durban.
Amekuwa akienda kwenye migahawa hiyo na kuingia hadi eneo la...
People keep saying bring back manufacturing, we haven't manufactured most of these products in 30 to 40 years, the factories don't exist, the equipment doesn't exist, the people that knew how to...
Mwendesha mashtaka wa umma nchini Sudan amemshitaki rais aliyeondolewa madarakani Omar al-Bashir kwa makosa ya kuchochea na kuhusika na mauaji ya waandamanaji.
Mashtaka hayo yametokana na...
Korea kusini imeeleza kwamba Korea kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi,hayo yanajiri baada ya mazungumzo ya kuondoa silaha za kinyuklia na Marekani kuvunjika.
Makombora hayo...
Ingekuwa wale wambea wa taifa sasa ungekuta #FreeAssange na kuvua nguo wangevua [emoji23][emoji23][emoji23]
=====
Sweden Reopens Rape Case Against Julian Assange
7-9 minutes
The...
Uongozi wa jeshi la Uganda, wakishirikiana na uongozi wa kikosi cha wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanaolinda amani nchini Somalia – AMISOM, wanachunguza tukio la mwanajeshi wa Uganda, aliyemuua...
Hii ni furaha kwa wanyonge kwa Rais Dos Santos kushughulikiwa
Alifikiri kutafuta mtu atakayemrithi itakuwa nafuu kwake..
======
Kwa ufupi
Binti huyo alikuwa kiongozi wa shirika la mafuta la...
Mashambulizi ya kutumia silaha, kuenea kwa habari potofu na ukosefu wa fedha vimeendelea kuchangia katika vizingiti vilivyoko katika kukabiliana na mlipuko wa maradhi ya Ebola upande wa kaskazini...
Sri Lanka on Monday temporarily blocked some social media networks and messaging apps, including Facebook and WhatsApp, after attacks on mosques and Muslim-owned businesses in the worst unrest...