Kitendo cha Uturuki kuamua kuanza kupokea makombora ya s-400 ya Urusi, kimemfanya Marekani akiri hadharani hofu yake kuwa silaha za Urusi zikiwa karibu na zile ndege zake za F-35 ambazo Uturuki...
Uturuki imeanza kupokea silaha kutoka Urusi aina ya S400,silaha hii ilipingwa sana na Marekani kwa Uturuki kuinunua kutoka Urusi.Uturuki ni mwanachama wa NATO, na ana makubaliano ya kununua ndege...
Power has now been restored to all customers after a power failure in New York halted subway trains and trapped people in lifts on Saturday evening.
Energy company Con Edison said more than 70,000...
Israel imeshambulia kambi za jeshi la Iran na maeneo mengine ya kijeshi nchini Syria
Jeshi la Israel (IDF) halijatoa maelezo yoyote kuhusiana na shambulio hilo...
Hakika nimeamini kuwa vijana ni uti wa mgongo wa Nchi, Hong Kong imekuwa na mvutano na vijana pamoja na wanafunzi wa nchi ambao kwa muda zaidi ya mwezi mmoja wamekuwa wakiandamana kupinga...
Mambo?
Labda kutokana na internal force or external force ukaamua,ee isiwe shidaaa.....ukaamua kuoa au kuolewa.Vigelegele vimeisha tu,ghafla bin vuu...macho hayaambiwi ona,maisha...
Baiq Nuril Maknun(41) amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela na faini ya rupia milioni 500(Tshs. 82,257,200.00) kwa kusambaa kwa sauti vyenye viashiria vya ngono alivyomrekodi bosi wake
Mwanamke...
Makampuni tajwa hapo juu yameanza kuomba poo kutokana na zuio la us kwa huawei kuaanza kuleta madhara.
Reuters wameripoti kuwa Qualcom, Intel na Xinxilx wameiomba serikali ya trump kupunguza...
Kumekuwa na mijadala mingi mitandaoni watu wakiongelea ubabe wa Marekani katika sakata zima la kupelekea kudunguliwa kwa Drone ya Marekani kwenye mlango bahari wa hormuz,wengi hawaelewi ni kwa...
Mtu mmoja aliyejisaidi akiwa kwenye daraja mjini Berlin azua kizaazaa baada ya kusababisha watu kujeruhiwa, kwa mujibu wa idara ya zima moto mjini humo.
Mtu huyo ambaye hakujulikana alijisaidia...
DUBAI (Reuters) - Iran’s elite Revolutionary Guards used drones and missiles to strike headquarters of a Kurdish militant group near Iran’s border with neighboring Iraq’s Kurdistan region, the...
Kufuatia jaribio la mapinduzi lililohusisha na mauaji ya maafisa waandamizi wa Serikali, wanaharakati, wanahabari na Wa wafuasi wa upinzani wamekamatwa nchini humo
Waziri Mkuu wa Ethipia, Abiy...
Kuna hali tete ndani ya jumba jeupe na wakuu wa usalama wa Taifa la marekan CIA pamoja na Mossad wanafanya analysis za mwisho tayari kuishambuli taifa la Iran.
Taifa za siri ambazo hazijawa rasm...
Mwanamke mmoja jimboni Texas, Marekani amekamatwa baada ya masalio ya maiti ya mamake inayooza kugunduliwa nyumbani wanakoishi pamoja.
Polisi wanaamini mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 71...
Jeshi la Sudan limesema Baraza la Kijeshi la nchi hiyo limezima jaribio la mapinduzi. Kwa mujibu wa Jenerali Jamal Omar maafisa 12 na askari wanne wamekamatwa kuhusiana na jaribio hilo.
Omar...
wadau na mashabiki wa russia,naona mambo yanazidi kunoga,watu walikuwa na hofu sana na s400,ambayo inapiga mpaka km 400,sasa s500,inapiga km 600,sasa sijui wale wanaotegemea meli kurusha...
SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel...