Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103.
Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia...
Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Afrika katika mji wa Guangzhou, Chen amewaeleaza...
By John Njoroge, Africa54, SA.
The anti Covid-19 crusade(s) in Africa is yet again bringing into perspective diverse leadership from the Continent that is known for its strong immunity after...
Hii NHS ya Uingereza ikoje?Naona inasifiwa Sana ..je USA hawana kama hiyo? Italy? France? Why hii ya UK inatajwa sana?
Tz tunayo mfano wa huo?
Tunaweza kuwa nayo?
What's so special na hiyo NHS...
Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness."
The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to...
Footage has emerged of Barack Obama giving a clear and concise way for the United States to effectively combat a pandemic – back in 2014.
As Donald Trump continues to deflect blame for the spread...
Maelfu ya watu nchini Uhispania leo hii wameruhusiwa kurejea kazini, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuibuka kwa mripuko wa virusi vya corona, ambapo serikali iliweka marifu ya kufanyika shughuli za...
Habari zilizofika hivi punde ni kwamba, shambulio la anga lililolenga wanamgambo wa Taliban laua raia wasio na hatia zaidi ya 60.
=====
US strike targeting Taliban commander causes civilian...
Hatukosei tunaosema hii Corona bado imetuweka kwapani Waafrika, kwa sasa haina haja na sisi, , maana ingekua inatuhitaji kama inavyofanya kule Ulaya, tungekua tunadondoka milioni moja kwa siku...
In the midst of rising Coronavirus cases in US, President Donald Trump in his press address hits out at a correspondent when approached about ramifications for China
Donald Trump
In the midst of...
Wanajamvi poleni na mapambano dhidi ya corona.
Nakwenda kwenye mada fupi ambayo naileta kama swali tujadili, hivi nchi ya Burundi inajiamini nini kutochukua tahadhari au kama kudharau gonjwa hili...
Corona: 2,000 wamekufa ndani ya masaa 24 Marekani
Marekani imekuwa taifa la kwanza kurekodi vifo vya watu 2,000 katika kipindi cha masaa 24 vilivyotokana na ugonjwa wa COVID-19.
Hakuna taifa...
Polisi Wakusanya Mitaani Maiti 800 za Waliofariki Kwa Corona na Kutelekezwa
Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil...
Urusi pamoja na mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi duniani (OPEC) yamekubaliana kupunguza kiwango cha uzalishaji mafuta kwa takribani mapipa milioni 10 kwa siku ili kuidhibiti bei iliyoporomka...
Kuda dekii!
Mtemi Kim Jong-Un leo Jumanne karusha mfululizo wa makombora tokea pwani yake ya mashariki katika kile jumuiya za kimataifa zasema ni salamu za kuonesha nguvu na uwezo wake mkubwa wa...
In what looks like a coordinated acts of racism and discrimnation against black people in China perpetrated with the blessings of China government, Africa diplomats in beijing have raised their...
Bunge la nchi hiyo limepitisha sheria inayotoa kibali cha kuwaachia Wafungwa 100,000 kama mojawapo wa njia za kupambana na maambukizi ya CoronaVirus
Hata hivyo, Mashirika ya Haki za Binadamu ya...
Vifo kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Hispania vimefikia 3,434 baada ya vifo vipya 738 kuripotiwa ndani ya masaa 24 yaliyopita.
Nchi hiyo inakuwa na vifo vingi zaidi kuliko...
Kwa mujibu wa Wanasayansi, nzige waliovamia Afrika Mashariki hapo awali hawakuondoka na inakadiriwa kuwa wamezaliana na sasa ukubwa wa idadi yao ni zaidi ya mara 400.
======
The locust WhatsApp...
Passengers keep social distance as they ride the metro
Some non-essential workers in Spain are returning to their jobs as lockdown restrictions are beginning to relax.
However...