International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya Marekani kuwa na Mashaka na china juu ya takwimu alizotoa na kusema atafanya uchunguzi mwenyewe ili kuthibitisha hiyo idadi, china imetoa ripoti mpya inayoonesha vifo 1,290 na kujitetea...
20 Reactions
154 Replies
18K Views
December mwaka Jana 2019 ulilipuka ugonjwa wa Corona jijini Wuhan nchini China. Hapo hapo Wuhan ikawa Locked. Taharuki ikaanza duniani kote. Idadi ya wanaokufa ikaanza kutolewa ikiongozwa na...
43 Reactions
132 Replies
20K Views
Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google. Mataalamu wa teknolojia anasema mlipuko wa ugonjwa huo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kinajieleza, kwa hapa kwetu mpaka sasa sijamsikia Kabudi akiongea lolote juu ya kadhia hii as if jambo hili halina athari yeyote ya ndani ya nchi kwa mahusiano ya nje. Japo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Korea Kusini imefunga shule zote sababu ya corona ila imeamua kutumia njia mbadala itakayohakikisha wanafunzi wote wanaendelea na masomo wakiwa nyumbani. Wizara ya elimu ya korea kusini imeamua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
WASHINGTON, April 15, 2020— The World Bank approved today $7 million in immediate funding to support Malawi’s response to the global COVID-19 (coronavirus) pandemic under a new Malawi COVID-19...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mtu msomi na mwenye nguvu baada ya rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari. Buhari anamuamini kupita maelezo. Ni kama yeye ni mikono ya Buhari. Abba Kyari 80, ni mzaliwa na mwenyeji wa Borno...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka hamsini, uchumi wa China umepungua kwa asilimia 6.8, ofisi ya takwimu ya nchi hiyo imebainisha Wachambuzi wa kiuchumi wametahadharisha kuwa uchumi unaweza...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Grades for cancelled GCSEs and A-level exams in England, Wales and Northern Ireland will now be published on their original planned results days. Grades are going to be decided by teachers'...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
KUPITIA #COVID19 DEMOKRASIA INAKIUKWA, ASASI ZA KIRAIA ZINAPASWA KUPAMBANA Serikali nyingi za Afrika zimesifiwa kwa hatua zilizochukua kudhibiti kusambaa kwa #CoronaVirus. Japokuwa zuio la kubaki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa...
9 Reactions
22 Replies
4K Views
Mufti Mkuu wa Saudi Arabia, Sheikh Abdulaziz Al-Sheikh, amesema kuwa swala zote kwenye mwezi wa Ramadhan na Eid-al-Fitr zitaswaliwa majumbani, endapo corona itaendelea, mwezi uliopita Saudi Arabia...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali ya Rwanda imeogeza kwa karibu wiki mbili amri ya kutotoka nje hadi Aprili 30 kama sehemu ya hatua ya kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hii ni hatua ya pili kali...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
China imeiomba Marekani hii leo kutimiza wajibu wake kwa shirika la afya ulimwenguni, WHO baada ya Rais Donald Trump kusimamisha ufadhili kwa shirika hilo akilituhumu kushindwa kulishughulikia...
5 Reactions
203 Replies
16K Views
Credit: KEN MORITSUGU and ZEKE MILLER, Associated Press © Provided by Associated Press Customers wearing face masks line up outside Gelson's Market while saying apart during the coronavirus...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Wizara ya Afya ya Umoja wa Falme za kiarabu imetangaza visa vipya 477 na vifo viwili vya #CoronaVirus, idaid hiyo inafanya jumla ya visa nchini humo kuwa 6,302 na vifo kuwa 37 Pia watu 93...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Brazilian President Jair Bolsonaro on Thursday fired Health Minister Luiz Henrique Mandetta over disagreements about how to deal with the coronavirus outbreak. Bolsonaro has argued that lockdowns...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwenye hii video anaangua kicheko kila kombora likifyatuliwa
4 Reactions
42 Replies
4K Views
samahani kichwa cha habari nimekosea kuandika WRC-5 BADALA ya MRC-5 BIOETHICS NEWS Is it true that there are vaccines produced using aborted fetuses? Some of the vaccines currently used to...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…