XENOPHOBIA: Afrika Kupeperusha Bendera za Mabalozi China ni Kujivua Nguo Mchana Kweupe

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,347
3,033
Kichwa cha habari kinajieleza, kwa hapa kwetu mpaka sasa sijamsikia Kabudi akiongea lolote juu ya kadhia hii as if jambo hili halina athari yeyote ya ndani ya nchi kwa mahusiano ya nje.

Japo nimemsikia Balozi wa awamu ya 5 katika serikali ya JPM akisistiza urafiki na China wakati dhahiri shahiri waafrika wanabaguliwa tena kwa kunyanyaswa sasa sijui ni urafiki wa aina gani huo kama sio kujipendekeza kwa dhiki zetu

Napenda niwakumbushe Kabudi na Serikali yake kuwa hili Jambo si la mchezo na linaweza kuleta madhara kwa sababu ya chuki itakayojengeka kati ya wachina na watu weusi

Hapa nchini kuna wachina wengi sana na asilimia kubwa hawapendwi na wafanyakazi wao kwani kuna imani kuwa wachina ni wanyanyasaji na hawalipi mishahara vizuri

Hiyo pekee inatosha kuwa mkeka wa kukaribisha ubaguzi kwa wachina waliopo nchini binafsi tayari nimeshajenga chuki kubwa sana kwa wachina

Mfano leo nilienda bank moja nikakutana na kichina kimoja ivi kilipo niangalia tu nikakisonya na kukionyesha uso wa chuki na ghadhabu, laiti ingekua mazingira yanaruhusu ningetafuta sababu ya kumtia maungoni kwa vitasa maridhawa

Kwakweli kwa yanayoendelea China dhidi ya watu weusi nimewachukia sana wachina kiasi ambacho sio salama tena kwa mimi kukutana na mchina katika mazingira ya pembeni kwani lazima atachezea kwa staili yeyote

Sasa basi kwakua serikali zetu za Afrika zimepotezea jambo hili mi nafkiri kila mtu kwa wakati wake achukue hatua, ikiwa utashindwa kwa vitendo basi japo kwa hisia inatosha kumchukilia mchina kama Paka mwizi a.k.a Kimburu
 
Ushahidi upo , binafsi nimeona video za waafrika Wawili.
Kabudi anasubiri mtz alalamike kuwa amebaguliwa.

Shitaka la pili hili tusubir UN security council au General assembly.
Nina wasiwasi UN itapasuka na kujengwa upya kisha China kuwekewa vikwazo na kutengwa kama awali au kufa kabisa
 
Mimi kwakweli mpaka sasa sielewi ni kwanini Wachina walianza kuwahusisha Waafrika na Corona au ilikuwa ni Scapegoat kama ilivyokuwa Wayahudi na Bubonic plague
 
Mimi kwakweli mpaka sasa sielewi ni kwanini Wachina walianza kuwahusisha Waafrika na Corona au ilikuwa ni Scapegoat kama ilivyokuwa Wayahudi na Bubonic plague
 
Back
Top Bottom