Utafiti Mpya wa Taasisi ya Kimataifa ya Tafiti za Amani (SIPRI) ya Sweden unasema matumizi ya Kijeshi duniani kwa mwaka 2019 yamefikia katika kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miongo mitatu...
de Souza: Sera ya Marekani kuhusu Afrika ni kupunguza jamii ya Waafrika
Mtaalamu wa masuala ya jamii wa Marekani amefichua kuwa, siasa za nje za serikali mbalimbali za Marekani kuhusuana na...
Nyakati zenyewe ndio hizi zilizotabiriwa, yaani Italy bado wanakufa kwa Corona hata kabla hawajawaza jinsi ya kutubu tetemeko la ardhi limewashukia.
------------------------
The earthquake...
Taarifa zinazosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari duniani zinasema Rais wa Korea Kaskazini ana hali mbaya kwenye hospitali alipolazwa baada ya kufanyiwa Operation ya moyo.
Vyombo vingine...
Tume ya Haki za Binadamu nchini humo imesema Serikali ya Taifa hilo imepiga marufuku adhabu ya vifo kwa watoto ikiwa ni muendelezo wa hatua mpya za mabadiliko zinazotekelezwa
Kamisheni hiyo...
African countries just as many other countries are facing the tragedy Coronavirus, The Coronavirus has forced many countries to enforce lockdown. The lockdown forces people to stay at home and...
Watu wanawashangaa rais wa Tanzania kutaka wananchi wajifukize mvuke kama tiba mbadala na rais wa Madagascar kuzindua tiba ya asili kupambana na corona.
Trump yeye kashauri wananchi wachomwe...
China imkamata barakoa milioni 89 za barakoa zilizotengenezwa chini ya kiwango. Hitaji la barakoa limeongezeka baada ya mataifa mengi duniani kuzihitaji ili kupambana na #CoronaVirus
Nchi kadhaa...
Maelfu ya waandamanaji jijini Berlin wameingia barabarani kuandamana kupinga hatua ya serikali kuwafungia ndani
Waaandamanaji hao walikuwa na mabango yalisomeka we want our life back stop...
Serikali ya Marekani imeilaumu ile ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini) kwa kushindwa kufikia mwafaka wa kuondoa Uzalishaji wa Makombora ya Kinyuklia katika Rasi ya Korea...
Heri sisi Rais Magufuli alisema tujifukize, Trump huko kwake amesema watu wanywe bleach yale marangi ya nywele.Trump ameongea hayo kwenye TV, amesema kuwa bleach inaweza kuwaua virus ndani ya...
Harriet Hardy kutoka Marekani ambaye amekuwa akijishughulisha na masuala ya nywele kwa miaka 33 amesema ana wasiwasi kuhusu namna ya kuwalinda wateja wake ili wasipate maambukizi
Amesema siku...
Wakati wananchi wa Afrika kusini wakiwa kwenye kipindi cha kujifungia ndani kukabiliana na corona baadhi wa waislamu waliamua kukiuka agizo la serikali la kukusanyika wakaamua kwenda ibadani...
Utawala bandia wa Kizayuni wapatwa na hasira kali kufuatia kurushwa angani kwa mafanikio satalaiti ya Iran
Apr 23, 2020 08:19 UTC
Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala Haramu wa Israel imetoa taarifa...
Guys!, for the past few weeks, my team and I have been doing some little research treatment and control of COVID-19. We have been fumbling around searching for relevant resources about the...
Footage has emerged on social media in recent weeks showing racist attacks on Africans in China. African migrant communities have become the target of discrimination and harassment as China...
After this is over, we need to have a very serious discussion about preventing the next pandemic. First thing first, The world health organization (WHO) should be disbanded. WHO is becoming...
Baadhi ya majimbo yameanza kulegeza masharti ili kufungua uchumi katika maeneo yao licha ya vifo na maambukizi kuendelea kuongezeka nchini humo
Magavana mbalimbali wakiwemo wa Oklahoma, Alaska...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetangaza msaada wa dharura wa Dola Milioni 309 kwa Mozambique ili kusaidia nchi hiyo kupambana na Coronavirus
Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...