Rwanda imelegeza masharti waliyoweka katika kudhibiti maambukizi ya #COVID19. Baa zitafunguliwa na mikusanyiko itaruhusiwa
Watakaoruhusiwa kuwepo kwenye mikusanyiko kama sherehe na maonesho ni...
Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muamar Gadafi, aitwaye Saad Gadafi ameachiwa huru na mahakama nchini Libya.
Saad amewahi kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya nchi hio.
Pia raisi wa...
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu.
"Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani...
Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imesema theluthi moja ya Watoto chini ya miaka 2 katika Nchi zinazoendelea hupata Chakula wanachohitaji kwa ukuaji bora
Ripoti ya UNICEF imesema majanga...
Marekani inajianda kutoa msaada wa chanjo za ziada millioni 500 za Covid 19 za Pfizer kwa mataifa kadhaa kote duniani, na hivo kufikisha jumla ya dozi billioni moja kufikia sasa.
Jumatano, Rais...
Karibu waandamanaji 300 wamevamia bunge la Namibia Jumanne, wakati lilipokuwa likijianda kupitisha msaada wa dola billioni 1 wa Ujerumani kama fidia kutokana na mauaji ya kimbari dhidi ya...
Toleo jipya la Chanjo ya Johson & Johson la Dozi mbili ni madhubuti kwa 94% dhidi ya kirusi cha covid 19 na sasa chanjo hiyo inalinganishwa sawa na Chanjo ya Modena na Pfizer.
---
A two-dose...
Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia.
Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito...
Maafisa wa ujasusi wa kupambana na magendo wamekamata karibu tani tatu za heroin - ambayo inasemekana kuwa ya thamani ya karibu dola biioni 2.7 (£ 1.9bn) - katika operesheni kubwa katika bandari...
Katika maegesho ya gari nchini Thailand katika mji mkuu wa Bangkok, utaona mbogamboga zikiwa zimeota katika paa ya magari ya kukodi ambayo yana rangi mbalimbali za kung'aa.
Vizuizi vikali...
Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume
Hamdullah Nomany amesema Taliban...
Jeshi la Sudani limefanikiwa kudhibiti hali ya Mambo mjin Orduman wakati wanajeshi waasi walipojaribu kuteka vituo vya redio na television
Source: Habari leo
Serikali Nchini humo imesema kumekuwepo jaribio la kufanya mapinduzi ambalo limeshindikana, na hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo.
Shirika la Habari la AFP limenukuu chanzo kilichosema...
Ripoti za awali zinasema angalau watu nane wameuawa baada ya Mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Chuo kilichopo Mji wa Perm.
Baadhi ya Wanafunzi na Walimu walionekana kujificha, huku wengine...
Idadi ya watu wasiojulikana huenda wamejeruhiwa katika shambulio la gurunedi usiku wa Jumatatu katika mji mkuu wa kibiashara wa Bujumbura nchini Burundi.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema...
Ukimbizi ni Biashara, na masjirika yanatengeneza Biliion of Money, Mtakumbukwa mwaka 2019 kuna shirika la kuhudumia wakimbizi la Danish Refuge Council walikutwa na sare za jeshi.
Yale mashirika...
Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine
Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya...
Revocat Karemangingo luteni wa Jeshi la Rwanda aliyepinduliwa 1994 na majeshi ya Kagame aliuawa juzi kwa kuvamiwa kwenye gari lake akiendesha kurudi nyumbani kwake kwa kupigwa risasi 9. Alikuwa...
Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza nia ya kugombea urais wa nchi hiyo mwaka 2022 ili kupambana na umasikini wa nchi hiyo
Pacquiao aliingia kwenye siasa mwaka 2010 ambaye alichaguliwa...
Kundi la waasi wa Burundi wanaofahamika kama RED-Tabara wamesema eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura umekuwa na mashambulizi yaliyodumu kwa muda wa takribani saa moja, siku ya usiku...