Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa...
Nchi nyingi zilionesha nia ya kununua S400 na Marekani ilipinga vikali nchi hizo zisinunue silaha hiyo muhimu kwa Ulinzi wa anga la nchi yoyote.
Ilifikia hatua kwa Marekani kumuogopa S400...
Takwimu mpya kutoka kwa shirika la Umoja wa taifa la wafanyakazi ILO zinaonyesha kwamba sekta ya ajira imekuwa na kasi ndogo katika kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya janga la Covid 19...
Kikosi cha anga cha Israeli -Air Force kimesema kuwa mazoezi, ambayo yanafanyika kila baada ya miaka miwili, yanalega kuimarisha uhusiano baina ya mataifa tofauti, na mwaka huu ni mazoezi makubwa...
Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii
Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo...
Kiongozi wa Mapinduzi ya Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema Jeshi limechukua Mamlaka ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo.
Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani...
AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe.
======
The African Union has said it suspended Sudan from all its activities...
Mchawi Mkuu wa Serikali ya New Zealand, Ian Brackenbury Channell ambaye ndiye mchawi pekee duniani aliyekuwa akilipwa mshahara na Serikali, amefukuzwa kazi kufuatia matamshi yake aliyoyatoa ambayo...
Shamkhani: Israel itenge bajeti ya kutosha ya kukarabati hasara za majibu ya Iran
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa...
Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona.
Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe...
Serikali ya China imetangaza kufunga shughuli zote za kawaida kwenye mji wa watu takribani milioni 4, wa Lanzhou na kuaamuru watu kutotoka nje isipokuwa kwa dharura, ikiwa ni jitihada ya kumaliza...
SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva.
Wanaharakati...
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameamuru kufukuzwa kwa mabalozi wa nchi 10, zikiwemo Ujerumani na Marekani, walioomba kuachiliwa kwa kiongozi mmoja wa asasi za kijamii mzaliwa wa Paris, Osman...
Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa
Hali Nchini humo imekuwa...
Marekani jana imesitisha msaada wa dola milioni 700 kwa Sudan, baada ya jeshi kuchukuwa madaraka, huku ikitaka utawala wa kiraia urejee.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani, Ned Price...
*Tony Blair aogopa kuharibu maslahi yake ya kibiashara huko Liberia
*Aruka kimanga
*Suala la ushoga sina taim nalo, asema
*Mashoga wamkasirikia mtandaoni na kumtuhumu kuwa ni ndumilakuwili.
Blair...
Until recently, Tony Blair had never visited Malawi. Last summer there was a lot of international press coverage on the discovery of oil under Lake Malawi. Since then hes developed an interest in...
Watu saba wameripotiwa kuuawa na wengine 140 kujeruhiwa katika mvutano baina ya Wanajeshi na Waaandamanaji. Watu walikusanyika Mitaani baada ya kuvunjwa kwa Utawala wa Kiraia na kutangazwa Hali ya...
Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi
Mmoja wa madalali aliyekuwa akiyauzia silaha magenge ya kigaidi nchini Syria likiwemo la Daesh (ISIS)...