Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo...
Kila leo Ukraine inazidi kukandamizwa na marafiki zake.Ujerumani hapo mwanzoni mwa vita tarehe 24 Februari ilisema itaisaidia Ukraine kisilaha kwa kuipa vifaru vyake aina ya Gepard .
Vifaru hivyo...
Watoto 11 wachanga wamefariki katika ajali ya moto katika hospitali katika mji wa Tivaouane nchini Senegal, uliosababishwa na hitilafu ya sakiti ya umeme hospitalini hapo kulingana na uchunguzi wa...
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu...
Akiripotiwa kuzungumza kutoka katika ofisi yake katika mji mkuu Kyiv rais wa Ukraine Zelensky amelaani kutendo cha viongozi wa Nato cha ' kukataa Ijumaa kuanzisha eneo la anga ambalo ndege hazipai...
Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake...
Baada ya Urusi kufungiwa njia zote ilizokuwa inatumia kulipa madeni yake na Marekani, wawekezaji watazidi kuikimbia Urusi.
Urusi kwa sasa ni kama kisiwa, imetengwa na Mataifa yote yenye uchumi...
Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine...
Russia imetengeneza mobile application ya game kwenye smartphone ambayo watoto wa Ukraine wanaotaka kushiriki kucheza wanajisajili na kuingia kwenye kucheza game.
Washiriki wa game hilo wanapewa...
Mwanadiplomasia mbobezi wa Marekani ambaye ndiye msanifu wa vita baridi wakati wa uwaziri wake,bw Henry Kissinger amesema Ukraine kwa hapa ilipofikia haina budi kuiachia Urusi baadhi ya majimbo...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji...
Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa...
Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika...
Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema...
Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alisisitiza umuhimu wa kutekeleza sera za kutuliza uchumi na kuunga mkono masoko, ajira na maisha ya watu.
Bw. Li Keqiang aliyasema hayo kwenye mkutano wa...
Serikali ya Ethiopia imepongeza kampuni za China kwa juhudi zao za kutekeleza majukumu ya kijamii nchini humo.
Taarifa hiyo imetolewa na naibu meya wa Addis Ababa Bw. Yasmin Wohabrebbi kwenye...
Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA...
Huduma ya Mizigo ya Reli ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi imetoa urahisi wa usafirishaji wa mizigo mingi inayokwenda katika nchi zisizo na bahari tangu kuzinduliwa kwake Januari 2018.
Edward...
Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4...
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika.
Akifungua kongamano hilo la siku...