Muda wa Mwezi Kupatwa Kiasi Leo Jioni Jumatatu 07 Agosti, 2017
12:50 Jioni Kivuli chepesi chaanza kufunika Mwezi (hatuta hisi sana)
2:23 Usiku Kivuli cheusi chaanza kufunika Mwezi, kutoka ncha ya...
Serikali mkoani Singida imewaagiza wakuu wa wilaya kuwatafuta na kuwakamata baadhi ya watu wanao chapisha kadi za kliniki na kuwauzia wakina mama wajawazito.
Mkuu wa mkoa wa Singida Daktari...
Habari za siku ya leo ndugu zangu, bwana harusi si neno geni lakini napenda nilitumie neno hili kufikisha ujumbe niliouandaa kwa siku ya leo.
Bwana harusi ni mtu yule ambaye amekwisha hakikisha...
Madalala mengi ya mbezi kwenda makumbusho siku hizi yanakatisha ruti yanaishia mawasiliano badala ya kwenda makumbusho trafiki fanyeni kazi yenu achane kuchukua za kiwi.leo imenitokea hiyo ikabidi...
Askari Polisi 4 wa kituo kikuu cha Polisi wilayani Nyamagana wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumpiga risasi mtu 1, kufyatua risasi na kulewa....
=====
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA...
Nimewasifu sana ITV na baadhi ya magazeti ya leo kutorusha habari ya kitoto ya TEF na DAB.
Eti "omba msamaha........siombi na haitatokea kamwe....haya tumekusamehe..."sasa ndo habari hiyo na...
Tatizo watanzania tulikuwa na mawazo mgando ya kusubiri serikali kufanya mambo hata kama yako ndani ya uwezo wetu,mfumo wa rais magufuli ni mfumo bora sana umefungua akili za watanzania
Sent...
Bill Gates akinywa maji yaliotengezwa kutokana na kinyesi
Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama...
Naomba ushauri kwa hili wakuu.
Jana wakat narudi kutoka TRA nikasimamishwa na trafk maeneo ya Mbezi kwa Yusuph nikasimama wakaniambia tunakupiga faini elfu 30, nikahoji kosa gani tairi imekwisha...
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza rasmi kutumia mfumo wa kielektroniki wa Government electronic Payment Gateway (GePG) katika makusanyo ya kodi ya pango la ardhi pamoja na...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,tajiri mkubwa kabisa duniani wa kampuni ya Microsoft amesema chanjo zitasaidia kupunguza idadi ya watu duniani. Ikizingatiwa kwamba yeye ni mfadhili mkubwa wa...
Na Walter Mguluchuma-Katavi .
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu Yustine Robarti (32)mkazi wa Kijiji cha Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi kunyongwa hadi...
Leo tarehe 4 mwezi wa nane nimeshuhudia maafisa TRA wakiyafungia maduka lukuki maeneo ya buguruni kwa mnyamani kwa kosa la kutokuwa na mashine za efd , cha ajabu nilichokiona na baada ya...
Ilitokea ghafla katika barabara ya Makongolosi kuelekea Rungwa mkoani Mbeya. Ghafla kwenye kona mnyama simba kakutwa kajipumzisha katikati ya barabara eneo la pori la simba.
Wakati magari yakiwa...
Wakuu heri na baraka ziwe kwenu,
Ningependa kujua pale Lugalo huduma ya kujifungua inapatika kwa raia wa kawaida na gharama zake zikoje? Kila la heri kwenu.
katika ulimwengu zao la bangi limejiletea umaarufu japo kwetu ni haramu lkn nchi nyingi ni halali.
Pengine inatumiwa kama dawa.
Kuna uwezekano pamoja na faida chache kiafya hii tafiti inaonyesha...
Taarifa zilizotufikia hapa zinaeleza kuwa mama mmoja ambaye ni mganga wa kienyeji (jina halijafahamika)amefanya mauaji ya mtoto wa kike. Tukio hilo limetokea jana maeneo ya Chang'ombe, wilaya...
NIMEZIPENDA HIZI Kauli 18 za mtu asiye na MALENGO wala UTHUBUTU
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha...
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2017 umepungua zaidi hadi kufikia asilimia 5.2 ikilinganishwa na asilimia 5.4 ilivyokuwa mwezi Juni, 2017.
Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya...