Unakumbuka ule msemo wa “Wageni wakija nyumbani, watoto mkae kwa kunyamaza na utulivu”? Na ukipewa soda au nyama na mgeni fanya kila unachoweza kusema kuwa umeshiba ili tu usipate kuonekana...
Mimi ni dereva wa bus, ya kwanza ni kituo cha mabasi chemchem Bagamoyo, ndiyo kituo cha kwanza kupandisha ushuru kuwa mkubwa Tanzania, awali ilikuwa shilingi 2,000 kwa siku then sasa hivi...
Unamwambia MTU Bei ya KITU flani 40000 akikudeshi kama anauliza mara ya pili unapandisha unahisi hakusikia mwanzo ?
Jitahidini manpotamla Bei MUWE na misimamo.
Mwingine akasema Bei ya...
Mimi na familia yangu tumefika mara mbili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure baada ya kupoteza wapendwa wetu katika miezi tofauti, tumekutana na changamoto ambayo baada ya kuuliza...
Katika zama hizi za mitandao, kuna kundi la watu wengi wamejigeuza kuwa mabingwa wa kutoa motisha. Huko TikTok, Facebook, YouTube kila kona zimefurika na wasemaji wanaotaka kuwashawishi wengine...
🚍 KERO MWENDOKASI MBAGALA
1. Mfumo wa kupanda 🚫
Mwendo kasi za Mbagala hairuhusiwi kugeuza. Ukifika mwisho, lazima ushuke halafu upange mstari upya ili upate siti.
👉 Hii inalazimisha baadhi ya...
Hali ikoje huko majumbani kwenu mliooa wanawake mabikra? Je anakuheshimu kisa wewe ni mwanaume wake wa kwanza? Hajawahi kuchepuka,hao wanawake walio olewa na bikra zao hawajawahi kuachika? Leo...
Salaam JF.
Pamoja na fremu za Mwenge (nimeona JF mmreripoti kuhusu hii ishu), kuna fremu za KMC Complex (Uwanja wa Mpira, Mwenge - Dar es Salaam).
Hizi fremu ni kituko kinachoonekana mchana...
Sisi baadhi ya wananchi tuna malalamiko kuhusu hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Igawilo, zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri upatikanaji wa huduma bora za afya kwa leo...
Kero yangu ni huduma za kibenki Manispaa ya Kibaha, Kibaha nzima ina bank yenye ATM ya Umoja Switch moja tu nayo iko Hospitali ya Tumbi ambapo pia ni kushoto sana kutoka huduma zingine zilipo...
Mimi ni Mkazi wa Vikindu Kazole Mtaa wa Cheta Bich, kero kubwa ya huku kiukweli kipindi kama hiki cha mvua barabara haipitiki hata kwa pikipiki hali ni mbaya sana.
Zaidi ya sana natowa wito kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt...
Barabara ya Kilema Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi Vijijini, Kata ya Masaera Kusini ni mbovu sana, tunaomba mtusaidie kupaza sauti viongozi wanachaguliwa bure tu.
Barabara tangu nazaliwa...
Baadhi ya kesi za kubaka Tanzania zinaweza kuwa za mchongo sana tuwe makini vijana ,ukiona kijana mwezako yamemkuta usifurahie mara nyingi tumezungukwa na watu wabaya sana mitaani .
Hapo ni Mbagala Stend ya Daladala, hivyo ni vyoo vya hapo, kila siku vinajaa havina usafi wa maangalizi ya Jamii, ujumbe huu ufike mbali ili hatua zichukuliwe kwani ni mwanzo wa kusambaza magonjwa.
Napita mitandaoni nasikia wanasema kamanda n msaliti sasa kama n msaliti wala haina shida Basi aende yeye AKAFUNGWE had hapo haki itakapo patikana
Hiv LISU harakat hz ameanza Leo mmesahau Zile...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama...
Na Mwandishi Wetu.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula , amesema uandishi wa habari usiozingatia maadili unaweza kuhatarisha umoja wa...
Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Yesu anasema hataki pombe ya...