Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dereva taxi mashuhuri wa Moshi mjini, Frank (35), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kusafirisha kilo 216.3 za dawa za kulevya aina ya Mirungi. Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, mtuhumiwa huyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jumla ya Sh 16.7 bilioni zimekusanywa katika kipindi cha Julai na Septemba mwaka jana kupitia tozo ya kodi za majengo. Akizungumza leo Januari 30, 2018 bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa Fedha, Dk...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Leo January 30, 2018 Watu wanne wamefariki Dunia katika kata ya Murieti kwenye eneo la mlima CCM baada ya kuangukiwa na maporomoko ya mawe na kuwafukia ardhini wakati walipokuwa wakichimba mchanga...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Waliohukumiwa ni Rajabu Yakubu, Swalehe Hassan, Anwar Mashali, Jafari Lema, Abdul Hamid, Mgaya Mgaya, Abdallah Rabia, Hassan Said, Abdallah Juma, Maka Gewa, Sudi Nassib na Swalehe Hamis. Arusha...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari za muda huu Wakuu! WanaJF wenzangu huu mfumo wa Polisi na TRA wa kuangalia kama gari lako au leseni yako inadaiwa (Kupitia namba *152*75#) unadanganya sana sana. Huu mfumo kwa kweli una...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimenunua PETROL Sehemu baada ya kuonaa najaza sana resit Inaakuwa kero nkasema niziangalie Gafla zinasoma VAT 0%MSAADA TU KAZI YAKE NN NINI HASA .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
How can I forget this..........................few weeks before the Hon. Chacha Wangwe met his untimely death he had one of his last nasty altercation with the then Deputy Speaker Anne...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kichaa anaweza kutembea ovyo tu na kuokota chochote anachokiona hata jalalani na kula lakini huwezi kusikia akilalamika tumbo linauma sasa jaribu wewe ambaye upo normal uone kama hujahamia...
7 Reactions
57 Replies
10K Views
Kutokana na mambo yanavyokwenda serikalini, na bahati nzuri viongozi wetu wengi ni waumini wazuri Dini, Mnaonaje Baraza la maasikofu, bakwata na taasisi zote za dini zikaazimia kuweka utaratibu Wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, swali langu ni dogo tu: Kama wabunge na madiwani wa UKAWA wanajiuzulu kwa madai ya kuridhishwa na utendaji 'mzuri' wa rais Magufuli; swali langu ni kwanini mpaka sasa hakuna Mbunge wala...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni baada ya kutembelea gereji tofauti tofauti nimegundua hawa wamiliki wa gereji wanafanana sifa moja. Bila kujali asili ya mmiliki wa gereji wote wanafanana sifa ya ukorofi na utata. Swala la...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Nimejaribu kufanya Utafiti wangu mdogo tu japo yawezekana ukawa si rasmi ila viashiria vyake vimenipa jeuri na moyo wa kuja na mtazamo kwamba Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na Taasisi zote...
9 Reactions
98 Replies
9K Views
Kisheria hukukosesha haki. Mfano ni mingi tujirekebishe. Tayari=tiyar Rahisi=lahic Tabora=tabola Furaha=fulaa Hisia=isiar Jamani=jomonii Kisura=kixur Coletha=Koreta Yako mengi,ila tu jua kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nadhani mkulu anachokonoa watu sana, sijawahi kumsikia Fred eneo lolote lile zaidi ya Mt. Meru Hotel na uingereza.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nirahi yangu nyote mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kazi zenu za kila siku na zakujenga Taifa Letu,nimeamua kutumia ukurasa huu ili pengine waziri wangu wa afya ujue kuwa ninacho kisimamia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Tahmeed wamenusurika kupoteza maisha baada ya basi hilo aina ya Yutong kuteketea moto leo mchana Kijijini Matumbi wilaya ya Handeni mkoani...
4 Reactions
90 Replies
16K Views
Najua kwamba muda wowote utafanya 'uteuzi ' wako wa kujaza nafasi za Mnadhimu Mkuu wa JWTZ na Mkuu wa JKT baada ya ' Makamanda ' waliotukuka akina Mwakibolwa na Isamuhyo Kustaafu rasmi jana kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naikumbuka vyema Sana hiyo siku, niliwasili Dodoma majira ya saa tisa alasiri na kisha mimi na dereva wangu tukapaki ktk hoteli moja maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi. Tulikuwa tunatoka Dar...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ukweli kwamba MAXCOM ni moja kati ya kampuni zilizoleta mabadiliko makubwa nchini katika sekta ya fedha, kwa kurahisisha miamala na kuisogeza zaidi kwa jamii kupitia huduma kama vile MAX...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…