Akihijowa na DW mchana huu Jenerali Ulimwengu ameshauri Makonda ashitakiwe...
==============================================
Amesema ni tukio linaloweza kufanywa na viongozi ambao wanajiona...
Licha ya Jeshi wito wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi kusisitiza mara kwa mara akiwataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi, wakazi wa mtaa wa Kaseke kata ya Mkolani jijini...
Wasalamu wakuu,
Kwanza nipende kuwapa pongezi kidogo wafanyakazi wa hii Benk kwa jinsi wanavyojituma, japo Wengi ni wamama na wazee.
Ni kweli kuwa hii Benk pekee ambayo Haina vimwana Wengi na...
Habari zenu wadau
Ni wiki moja sasa tangu mh Raisi atoe kauli kuwa elimu ni bure hivyo walimu wote waliokusanya pesa kutoka kwa wazazi ajiri ya michango mbalimbali irudishwe
Nikiwa Kama mzazi...
Mjue ofisa anayelazimisha watumishi wake kufanya kazi hata kama ni wagonjwa,mpaka kufikia hatua ya kujifungulia ofisini.
Ofisa mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha uhamiaji hapa Airport...
Kuna ujumbe huu voda wanautuma kwenye Laini za mawakala
"Ndg Wakala,unatumia Till isiyo na majina yako, tunakuomba uondoe pesa zote zilizomo kabla haijafungwa 25/1/2018 kuepuka usumbufu tafadhali...
Mwaka huu 2018 ni mwaka ambao moja ya malengo ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo ni malengo ya kibiashara. Kama bado hujawa na biashara basi unapaswa kuanza biashara yako mwaka huu. Na kama tayari...
Msaada wana jamvi,
Ninataka kununua kabati la vyombo, sasa nimeenda kwa fundi nikakuta kabati kama yale ya kichina lakini siyo ya kichina, fundi akasema ni makabati yaliyotengenezwa kwa mbao...
Japo sipendi watanzania wakose kazi ila nachukia kampuni zinazokula hela za serikali kizembe zembe tu... mwalimu anatibiwa nhif huku mfanyakazi bot anatibiwa na AAR agakhan au best hospitals...
Nimegundua jamii forum ukiwagusa waarabu au wayahudi mjadala unakuwa mkali sana..
Mbaya zaidi matusi,kejeli na kashfa kibao juu ya imani za watu...
Wadau tambueni hizo jamii ni binadamu km wengine...
Wanabodi naomba tujuzane hivi MZANZIBARI ni kabila gani na linaishi sehemu gani katika mikoa yote ya Tanzania?
Hii lugha ya kizanibari salam ya asubuhi wanasalimiana vipi kizanzibari
Wasukuma...
Taasisi ya mikopo ya Pride Tanzania ipo taabani kifedha ikidaiwa kushindwa kujiendesha.
Licha ya hilo, taasisi hiyo inadaiwa kuwa imeshindwa kutoa mikopo kwa wateja wake na kulipa stahili za...
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
Naomba msaada kwa anayefahamu wataalamu wazuri wa kuchimba visima wawe na kampuni inayoeleweka.site ni Dar es salaam -Magomeni.
Njoo pm au weka namba nitakupigia
Mfanyabiashara wa duka kata ya Chamazi, wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, Mateso Chupi (39) amefikishwa mahakama ya wilaya ya Lindi, akikabiliwa na shitaka la kukutwa na vipande sita vya meno...
Ndugu wana jf kwa wachawi au mchawi yeyote anaesoma uzi huu, naomba anipe uhakika kwa hiki nilichokisikia Leo, ya kwamba " Nikiwasha taa usiku kucha, hakuna mwanga wala mchawi atakaeweza kuingia...
Leo tarehe 22/1/2018 nilifika hospitali ya manispaa ya Mpanda wao wakiita hospital ya wilaya Mpanda.
Nimefika saa 1 asubuhi lakini pale mapokezi kulikuwa hakuna huduma inayoendelea tokea hasubui...
Habari zenu,
Naomba kuelezea kwa kifupi sana ubakaji na mazingira yake;
Ubakaji ni ile hali ya kuingiliwa pasipo ridhaa au makubaliano ya pande zote (mwingiaji au muingiliwaji).
Bahati mbaya...
Ludwig von Mises (1881-1973 alifanikiwa kuwaza na kuwasilisha kwa weledi mkubwa mtazamo wake pale aliposema:
The interventionists do not approach the study of economic matters with scientific...