Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imeripotiwa kuwa baadhi ya akinamama wajawazito na ambao tayari wamejifungua katika Kituo cha afya cha Katoro Wilayani Geita, wanalazimika kulala watatu katika kitanda kimoja huku wengine...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi ni vitu muhimu ambavyo tunavitaka kwa sasa,na raisi yeyote atakae fanikisha haya naamini watanzania wengi tutakuwa tayari kumpa muda wa nyongeza kwa namna moja au nyingine Kama shukurani zetu...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Inasemekana matajiri wa mkoa wa Njombe na wilaya zake wanashikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano. Awali waganga wa kienyeji mkoani humo walikamatwa na sasa matajiri wengi wapo ndani. Mkuu wa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kusajili mafundi wanaotoa huduma za matengenezo ya simu za mkononi kwa mujibu wa sheria zilizopo na...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
"If India builds the bomb, we will eat grass and leaves for a thousand years, even go hungry, but we will get one of our own. The Christians have the bomb, the Jews have the bomb and now the...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada,DSTV kwa miaka mingi imekuwa ikichuma pesa kedekede za watanzania kwa kufanya kazi zao hapa TZ,pamoja na ukweli kuwa wanalipa na kodi na mambo kama hayo lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baadhi ya watumishi wa idara za serikali wamepunguza au kuachana na kuomba na kupokea rushwa Kwa muda mrefu sijasikia utafiti Kwa wanaojiita watafiti wakitoa tafiti zao has a Kwa idara ya usalama...
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Muigizaji wa filamu ya Bollywood, nchini India Esha Gupta ameibua gumzo kali baada ya kuweka ujumbe unaoshiria mchezaji nyota wa Nigeria na Arsenal, Alex Iwobi ni 'sokwe' ambaye uumbaji wake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jambo kwenu wanaJF. Niende moja kwa moja kwenye maada,ifahamike ya kwamba huu mwezi tunauona unang'ara angani haupo peke yake kuna miezi mingi mingi tu (nimesahau idadi kamili),ila ni zaidi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kazi ngumu sio laana kikubwa malengo yako tu mbeba zege sahv analipwa 15k kwa siku . Ivyo kukaa kwa wazazi bila issue sio vizur bora ukajichanganye kikubwa nguvu zako na afya na malengo utafika...
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Kwa kuwa swala hili limekuwa mwiba kwa wasafiri wote aidha private ama usafiri wa umma nimeona ntoe pendekezo kama inawezekana basi iandaliwe toll maalumu kwa wanaotaka kuwahi kufika waendako...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumekua tukiskia sifa za ajabu kuhusu Bangi, ajabu hakujawahi kutolewa ushahidi wa kitaalamu juu ya madhara ya bangi! Jamii imekuwa ikichukulia mtu mwenye kuvuta bangi kama mhalifu au mvunja...
20 Reactions
243 Replies
111K Views
Ukiachana na mambo tuliyo bobea baada ya kufundishwa kila mtu anakipaji chake alicho zaliwa nacho, mwengine vipaji vyao wanavijua mwengine mpaka sasa hajui ana kipaji ngani Mimi kipaji changu ni...
3 Reactions
139 Replies
13K Views
Mlishindwa nini kuandika kwa Kiswahili kama kiingereza ni tatizo?? Hakuna mtu wa kufanya "proofreading" kabla ya kutoa hivi vyeti?? Mkuu wa mkoa hakusoma hiki cheti kabla ya kuweka saini yake...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha. Muda ni sasa, Tumia ulichonacho, Fanya unachoweza.
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto mwingine anayekadiliwa kuwa na umri kati ya miaka 7-10 aliyefahamika kwa jina la RECHAEL MALEKELA mkazi wa kijiji cha Matebwe wilayani Njombe amekutwa ameuawa kwa kuchomwa na vitu vyenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo tunaangalia orodha ya vifurushi vyote vya chini kwa ving'amuzi vyote nchini 1.Dstv -Bomba 19000, zaidi ya channel 70 -Family 39000, 2.Azam -Azam lite 15000, channel 55+ -Azam pure 18000...
9 Reactions
38 Replies
49K Views
Baada ya ndege za Fast jet kusitisha biashara ya kutua na kuruka katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mbeya, kumekuwa na tatizo kubwa la usafiri wa anga. ATCL wamekuwa wakifanya kazi kwa ndege moja...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo asubuhi kwenye kipindi cha morning magic katika redio ya Magic FM walikaribiswa viongozi wa taasisi ya Under The Same Sun katika kuelezea madhila yanayowapata wototo na watu wenye ualbino kwa...
23 Reactions
137 Replies
17K Views
Hv ile ajali ya asubuhi (magari karibu sita) ilisababishwa na nn?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…