Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9...
Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema...
Kile kitabu cha nchi ya kusadikia kina wezekana kiliandikwa kuhusu tanzania na kilipigwa marufuku mashuleni kama kaptula la max.
Sasa mtazuia mangapi kama ukweli unajulikana maana mpaka waziri...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amesema watu 2045 walikamatwa wakati na baada ya maandamano yaliyozaa vurugu Oktoba 29, 2025 maeneo mbalimbali nchini.
Kati ya hao, 1,736 wataachiwa...
Jennifer Jovin, Niffer wewe Niffer, wallah unanikosha sana hehe; wao na matatizo yao sio habari zako, waache watulie na rozari zao wapige dua. Kazana sana, sisi Waislamu pia tupo pamoja nawe na...
Pesa zinachezewa mda huu yani usijeshangaa kuona makundi yakisema wametoka gerezani wakimshukuru mama yao asiye wazaa.
Script ya udini imebuma,sasa wa wasanii wanaogopa nao ila naona UVCCM...
Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali.
Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na...
POLE
Nianze na pole kwa Watanzania wote kwa matatizo yaliyotokea October 29, 2025
VURUGU
Changamoto zilizotokea ni za kibinadamu hivyo hatupaswi kulaumiana bali tunapaswa kusamehana, kunyanyuka...
Kwa tafiti yangu ndogo wananchi wanaitamani mabadiliko na wanaona tija ya maandamano ila wanahofia gharama zake kiuchumi na kuwaza kuwa nchi inaweza kuwekwa lockdown Kwa muda mrefu hivyo kuathiri...
Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka...
Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile.
Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael George Mabuga Msonganzila, amewataka waumini na viongozi wa dini nchini kutokubeba jazba wala kujiingiza katika mijadala ya matusi, lawama na kejeli...
Kwa sasa mtu anayejiona kuwa utawala huu ni sukari kwakwe ni wazi kukuchoma ili kuokoa uhai wake na familia yake.
Polisi,wenyekiti wa CCM,wabunge wa cmm,madiwani wa ccm,usalama TISS,wanajeshi wa...
Kuna muda hata sheria inaweza kukufanya kujua sheria ili mradi ubongo uwe unakwenda na wakati na muda.
Gwajima alipotaka haki kuhusu utekaji na hapo hapo alifungiwa makanisa bila serikali kutoa...
Wanankumbi mko njema
Yule mwanasheria mbobobevu aliejinadi ataenda kumkamata Mange
Atatakiwa kuandaa mashtaka ya kwenda kuifungila CiNN kesi kwa kuchafua Taifa linalosadikika halifanyi uovu wa...
Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani .
Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua...
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchimbi alikuwa mgombea mwenza
Mpango alikuwa rais makamu
Kasim alikuwa waziri mkuu
Walikuwa ni viongozi wakubwa sana
Lakin kwa nini...
Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa.
Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao...
Vatican News
Church
Tanzanian Bishops’ president: ‘Protesters were killed without mercy’
After weeks of street protests over the recent elections that led to many deaths and injuries, Bishop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.