Akizungumza katika mahojiano na Clouds tv katika kipindi cha Live on Clouds 360 Mchambuzi wa Masuala ya Siasa nchini, Salehe Mohamedi amesema "Tukubaliane nchi haiwezi kuendelea bila mikopo. Hiyo...
Hiyo ndo kauli mbiu ya Rais Samia. Kwa ufupi ataendelea kuwakaanga vijana wenu mpaka mseme poo yule, mshipa wa ubinadamu ushampotea
Hakuna sehemu nchi inapelekwa hii zaidi ya kudumbukia shimoni...
Kwa matamshi yake ya leo ni dhahiri mambo yote yalio tokea 29 Oktoba yalikuwa na baraka zote kutoka kwa Rais na watendaji wake.
Hivyo basi tume iliyoundwa kamwe haiwezi kuwa na majibu yenye...
Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao.
Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na...
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) nchi nzima kuhakikisha hakuna foleni zisizo na sababu zitakazokwamisha na kuzorotesha...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na...
Kwa yaliyotokea,
Nilitegemea kuna baadhi ya watu wangekataa teuzi ili kuonesha hawakubaliani na yanayoendelea kupitia serikali hii hivyo kuonesha uzalendo.
Kukaa kimya na kufurahia teuzi...
Hii Serikali haramu.
Ni haramu n inaendeleza uharamu wake kila siku kukicha
Huwezi kuendeleze undugu kwa kiasi hicho na huo ni mfano mdogo.
Tuu ni ndugu wangapi wako kwenye mfumo kisaa tuu...
Kwahiyo wewe Lulu unataka kutuambia kwamba kila mtu angeomba msamaha angesamehewa?
Lakini pili wewe si unajifanya mpambania wananchi kama ulikuwa unasema vilivyo na maslai ya wananchi kwanini...
Rais Samia ili kulinda heshima yake aliyoijenga muda mrefu kwenye siasa ni vyema washauri wake wamshauri kuwajibika kujiuzulu
Wote tunajua na kutambua uongo na ulaghai wa iNEC kuwa Watanzania...
Kama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo.
Nilikuwa mlangoni...
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna watu wanashabikia hii serikali ya wauaji.
Samuya kaa ukijua auaye...
CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki
Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na...
Kutuhumu Jeshi la Polisi au chombo chochote cha usalama kwamba kimeiba mali au fedha, hasa bila ushahidi wa moja kwa moja, ni jambo lenye uzito mkubwa na athari kubwa.
Baadhi ya athari hizo ni...
Hili nililiona mapema kabisa hata kabla ya uchafuzi mkuu wa OCTOBER 29 2025
Katika mkanganyiko wa kupoteza madaraka ccm wakafanya waliyofanya na matokeo yake yakaonekana wazi dunia nzima
Kwa...
Guys nimeona vyombo vya habari na zile taasisi za "mama this, mama that" zikitoa data za kupikwa za vitu vilivyoharibiwa MO29. Guys.
Guys. Sasa ikiwa hata pikipiki zilihesabiwa na kujulikana...
Katika Afrika Mashariki ni ngumu kuweka ukabira kwa nchi ya tanzania ila awamu zote aliyeanza kuleta ukabira wazi wazi ni mwendazake Magufuli. Katiba mbovu ya Nyerere na mfumo wa ovyo wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.