Wakazi wa Iringa Mjini tunapandishiwa nauli za daladala katika njia kutoka Stendi ya Zamani kupitia Igumbilo hadi Stendi Kuu ya Mabasi na Viwengi, magari yanayofanya safari katika njia hii...
Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia...
Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
ShesRise_1 ni mweupe, mrefu ila hana makebo makubwq
win-one ni mweusi mng'ao, mnene kiasi, sio mrefu, sio mfupi
Seran ana nyoa hasuki, ni mweupe kiasi, hana makebo makubwa ila kiasi
Mallerina...
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,
Mara kuna ile microfinance, mara...
Wakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha.
Jumatatu iliyopita nilishiriki mahafali ya darasa la Saba ya binti yangu. Mambo yalikwenda tu vizuri mwanzoni, lakini...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia amesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi huku fursa za biashara zikizidi kufunguka, hivyo ni...
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026...
Wakuu salama.
Tafakari kizazi Adam na Hawa kabla ya dhambi, Ebu assume walivyokula bata.
Tazama kizazi kipindi cha Yesu Kristo (Mungu katika mwili) na mtume Mohamad (mwenye kheri na utukufu)...
Huu uzi ni kwa ajili ya matendo ya vituko vya machawa.
Nimeona ni muhimu kukumbushana vituko vya machawa hasa kwa wakati huu ambapo UCHAWA umekuwa ajira rasmi na kitu cha kujivunia na wapo...
Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala.
Hivi huyu...
Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme...
Just recently... Jana tu tena nimeweza ku observe hiki kitu mara mbili, na kikazidi kumake sense kwangu..
The more spiritual you are people become So drawn to your presence...
Actually, ni...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika...
Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea
Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na...
Kwa muda sasa kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusukufanyika kwa maridhiano ya kitaifa kufutia matukio ya baada. ya uchaguzi mkuu wa mwaka Jana.Kuna wanaotaka maridiano ili kuliponya taifa kufuatia...