Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Anonymous
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa...
3 Reactions
7 Replies
177 Views
Nilikua na kakazi kangu hapa city of chalamila nikaona sio mbaya nipumzike na binti flan namfahamu kitambo ila leo ndio nimemla... Kwakweli anavutia na mzuri na makalio makubwa sana nae ni bonge...
9 Reactions
49 Replies
802 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Benki advance nmb kuna shida? Hembu acheni kusumbua watu rejesheni huduma
3 Reactions
12 Replies
200 Views
Watu wanne, wakiwemo Watoto wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Miza Express lililokuwa likitoka Mpanda kuelekea Bariadi kupata ajali katika eneo la Kijiji cha Ngukumo, Wilaya ya...
1 Reactions
7 Replies
144 Views
Moja ya ishara iliyotajwa kuambatana na waaminio ni kusema kwa lugha mpya katikaMarko 16:17 Paulo akielezea hili, alisema katika 1 kor 14:2 "maana yeye anenaye kwa lugha hasemi na watu,bali...
1 Reactions
12 Replies
175 Views
Nimesoma andiko la Prof. Anna Tibaijuka kuhusu kesi ya Tundu Lissu, na kwa kweli kauli yake kwamba maneno kama “TUTAKINUKISHA,” “TUTAZUIA UCHAGUZI,” na “TUTAHAMASISHA UASI” ni aina ya “utani wa...
-1 Reactions
1 Replies
90 Views
Hello Shalom! Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo. Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu. Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Natamani huo muda Zaidi Soma Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea leo Agosti 24, 2026
2 Reactions
5 Replies
141 Views
Kauli ukizikisia mara nyingi ujue hapo hakuna utekelezaji. 1. Tumelichukua tunalifanyia kazi.. 2. Tupo kwenye mchakato 3. Uchunguzi bado unaendelea 4. Hilo nalo mkalichunguze huko 5...
1 Reactions
6 Replies
104 Views
Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula...
5 Reactions
18 Replies
294 Views
Taarifa za ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma TANAPA zimetajwa sana sana kila kona. Ubadhirifu huo mkubwa unaofikia Shilingi zaidi ya bilioni 19, umefanyika katika kipindi cha uongozi wa Kamishna...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Jumapili ya Leo pale kanisani kwangu nimetoa somo zuri sana Kwa wale wote waliooa na wanaotarajia kuoa. Niliwafundisha vitu viwili ambavyo mke anaweza kumshinda mume wake. Kitu Cha kwanza ni...
15 Reactions
79 Replies
789 Views
Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like...
4 Reactions
70 Replies
593 Views
Nimeshakaa zaidi ya miezi mitatu bila kupata kazi nyingine. Nilikuwa nafanyakazi private sector. Niko katika mchakato wa kujaza CLaims fomu za UNEMPLOYMENT BENEFIT katika NSSF portal. Niko...
1 Reactions
2 Replies
166 Views
Katika ulimwengu wa leo, pesa imekuwa kiini cha maisha ya watu wengi. Watu wanakimbizana na fedha wakiamini kuwa ndicho chanzo cha uhuru na furaha yao. Wanajitahidi kuongeza salio la benki...
3 Reactions
5 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…