Katika mambo yanayoshangaza sana nchini ni ubutu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara nchini (Fair Competition Commission, FCC). Kuna mambo mengi sana nchini yanafanywa na wafanyabiashara kwa...
Tuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi...
Unanua umeme wa 5000/=
Unapata unit za 3800/=
Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU...
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya kwenye Vituo vya afya nchini ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,
Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na...
Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale...
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi.
Katika safari hizo...
Habari Mkuu naomba kuwasilisha kero kwenu leo hii. Mimi ni mkazi wa KIGAMBONI nadhani kwa sasa Kigamboni ina mbunge mpya anitwa somebody SANGA baada ya kifo cha DR. NDUNGULILE.
Kuna kero ya...
Kwa zaidi ya miaka 7 sasa wafugaji wenye makundi makubwa ya Ng'ombe wa jamii ya wamang'ati na wasukuma wamevamia na kuingiza mifugo holela kwenye vijiji vilivyopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi...
Utunzaji wa Mazingira ni wajibu wa kila mmoja ikiwa maeneo yanayozunguka Halmashauri ni machafu hivi na miongoni mwa Taka zinazo tupwa nje hovyo zinatokea ndani ya Halmashauri Je! Jamii inawezaje...
Katika Daraja la Kijazi Ubungo watembea kwa miguu wanapata kero kubwa, kwanza njia za kupita zimebanwa sana pia humohumo bodaboda wanapita,
Kwenye zebra crossing unakuta Bajaji imepaki katikati...
Uamuzi wa kuwataka madereva wa vyombo vya moto, hususan madereva wa malori makubwa, kurejea vyuoni kama VETA kwa ajili ya kuongeza ujuzi ni hatua nzuri katika kuimarisha usalama barabarani na...
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.
Kuna haja ya...
Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli?
Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
Kuna migambo wanazunguka Kariakoo na gari aina ya Fuso wanakamata pikipiki na bajaji kisha zinapelekwa pale Lumumba kisha hutozwa fine Shilingi 50,000 na ikilala kila siku inaongezeka elfu 10...
Uwekaji wa mabango ya matangazo katika maeneo ya mzunguko wa barabara (roundabout) ni hatari kubwa inayokiuka misingi ya usalama barabarani. Mabango haya yanazuia kabisa mwonekano wa madereva...
Jamani
Huu ukuaji wa bei ya viwanja na nyumba ni kawaida kweli? Yaani nyumba kama hii huko Masaki inauzwa kwa Dola Milioni 2 kweli na hii ilikuwa ni 2023. Huko Kariakoo nimeona kuna jengo...
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha,
Na...
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni...
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo...
Salaam Wana JF,
Naomba nitoe hoja ambayo naamini wengi wetu tumekuwa tukiikumbana nayo kila siku, lakini pengine hatujapata nafasi ya kuizungumza kwa uzito unaostahili.
Kero ya SMS za matangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.