Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu.
Baada ya Ally Kamwe...
Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon
Na vipi...
Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center...
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku...
Taasisi ya Moyo ya Texas (THI) na kampuni ya Vifaa vya Matibabu (BiVACOR) zimefanya upandikizaji wa Moyo wa Bandia (TAH) kwa Binadamu utakaokuwa mbadala wa Moyo unaoshindwa kufanya kazi...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema Treini za kisasa zitakuwa na uwezo wa kubeba tani 10,000 kwa mkupuo jambo amesema kuwa ni sawa na mzigo ambao unabebwa na malori 500.
"Treni za...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja.
Utakuta watu wa Asia kama...
USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA🧠
“A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary
Vipi unakubali au unakataa?
REPOST Wengi...
Majukumu yameisha Now we are free!
Kwanza pongezi Kwa kuendelea kulisukuma gurudumu la habari hapa!
Kuna Mikakati Muhimu sasa tutaanza kujua kabla ya wengine,
Be the first to know!!
Britanicca
Hakuna ofisi maalum ya madereva wa serikali (wakiwemo wa halmashauri na wizara mbalimbali) kutumia wakati wanasubiri mabosi wao watoke ofisini au kwenye mikutano ya kujenga taifa?
Naona kama...
Makao makuu ya nchi ni Dodoma hakuna kurudi nyuma
Ni furaha kwamba maadhimisho haya yanafanyika Dodoma makao makuu ya nchi katika uwanja ambapo mwaka 2016 wakati wa maadhimisho haya Hayati...
Wenyeji au yeyote anayefahamu kuhusu hili.
Wilaya ya Mbozi iliyopo mkoani Songwe ni vituo vipi vinatumika na serikali kununulia Mahindi ya wakulima bila kusahau malipo yao yanachukuwa muda gani...
Kuna Video inasambaa kwenye Mitandao ya Kijamii nikaona niwashirikishe kuna la Kujifunza
=============
Victor Tesha
Nilikutana na mvulana mdogo sana ambaye kila siku alikuwa akisafisha kioo cha...
Kwanza nikupongeze sana OC-CID wilaya ya Bunda kwa ulivyopambana na uhalifu na pongezi zaidi kuuzima uhalifu wa kutumia pikipiki ulioanza kuchukua nafasi hivi karibuni nyakati za usiku. Kiukweli...
Ukiangalia sarafu dhaifu za Afrika, inadhihirika kuwa udhaifu wa nchi hizi unachangiwa na sababu nyingi zenye utata. Iwe ni kutokana na kutokuwa na uthabiti kisiasa, changamoto za kiuchumi...