Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikisikia simulizi mbalimbali zinazohusu watu wanaotumia Mkono na hata Mguu wa Kushoto kuwa na akili nyingi na kipaji pia. Na inaelezwa kuwa ni watu wenye bahati sana. Na hii ni...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo, Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili, Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni mara 10 Putin angeshtuka mapema asingejiingiza kwenye hii vita angetulia zake ajiimarishe kiulinzi maana aliivamia Ukraine kuizuia isijiunge na Nato pia hakutaka silaha za nato zisogee mlangoni...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama Kuna vijana wanapitia hali ngumu ya kimaisha basi ni pamoja na vijana wa kitanzania. Just imagine kijana hanakwambia hana mpango wa kuoa kama ni upwiru atachukua buku Tano anakwenda...
4 Reactions
8 Replies
703 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa...
0 Reactions
3 Replies
577 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe ndugu Anthony Mtaka anafaa kuwa mfano wa viongozi wenye kujenga jamii bora kupitia hotuba zake. Tanzania ya sasa sio CCM wala vyama mbadala wenye hulka ya kutoa hotuba...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either...
8 Reactions
66 Replies
4K Views
Rais Samia Shikamooo Ikikupendexa tunaomba ubafikishe viongozi kadhaa wa juu wa nhif Wakitangulizwa na bodi yao Wananchi wanateseka sana na hizi huduma za nhif sjui kama washakufikishia Kadi...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza...
2 Reactions
3 Replies
363 Views
Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani...
12 Reactions
202 Replies
18K Views
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Zaidi ya Taarifa za Anwani za Makazi 400,000 zinatarajiwa kuhakikiwa katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Arusha katika zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Najiuliza, kama himaya fulani inajiita nchi, ina Rais, nk. Ni kwanini haina sarafu yake?
1 Reactions
8 Replies
411 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana huku akisisitiza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida kwa ajili ya kuongeza ufanisi...
1 Reactions
7 Replies
521 Views
MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YANUFAISHA KIMASOMO WANAFUNZI 96 WALIOHITIMU Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir...
1 Reactions
0 Replies
492 Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
15 Reactions
411 Replies
13K Views
Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa! Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga! Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani...
1 Reactions
3 Replies
407 Views
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom