Kitendo cha Polisi kutoa tangazo kwamba kuanzia sasa mtu yeyote akishikwa na kosa la usalama barabarani lazima apelekwe mahabusu na kupelekwa Mahakamani kesho yake ni wazi kwamba lengo lake ni...
Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na...
Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu
Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote
Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini...
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kushiriki mbio hizo
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Bank Marathon 2024
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki...
SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA
📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji
📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji...
Kwa jinsi wanavyoshughulikia mambo na kuyapa uzito usio sawa, hii ni aibu na inatia mashaka sana.
kwa mfano, jinsi wanavyoliendesha suala la binti aliebakwa, je kama ingekua hakuna ushahidi hali...
Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zinazomsambaa kuhusu mwenendo wa tukio la kikatili lililotokea dhidi ya binti mmoja mkazi wa Dar es Salaam...
Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana.
Kwa...
Hili jambo limeanza kunishtua sana baada ya kumsikia Professa Janabi kuhusu wanaotoa figo wanaishi miaka mingi.
Hii tafiti sijasikia kokote duniani kuwa inakupa guarantee utaishi muda mrefu.
Cha...
Huyu Kikongwe ni kama amechanganyikiwa na akili imeanza kurudi mserereko utotoni Kwa sababu za umri mkubwa.
Amekuwa anatumia Kila aina ya Mipasho kujipamba ila haijamsaidia sana Toka Babu mwenzie...
Nichukue nafasi hii kukupongeza Raisi Samia kwa kumuondoa huyu mjivuni na mwenye amri za kibabe msonde,nadhani unatufatilia vyema hapa jamii forum.
Kwa upande wa elimu bado kuna changamoto ya...
Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza...
Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China.
Kulingana na vyombo vya habari vya...
Katika wilaya 5 za Mkoa wa Dar Es Salaam ni Wilaya ya Ubungo pekee ndio haina Kiwanja cha Mpira wa miguu, hivyo naishauri Serikali ya Mkoa na Wilaya ya Ubungo kufanya mchakato wa kujengewa Kiwanja...