Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana.
Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu?
VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti.
Akifa tu vyeti...
Hello!
Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole...
Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo...
Umejinyima Sana Tangu Utotoni
Elimu ilikugharimu: Umepitia changamoto nyingi katika masomo yako, ukikabiliana na vikwazo vingi ili kupata elimu bora.
Ulitafuta Utajiri Kwa Jasho: Umetumia muda...
Habari wana JF.
Niende moja kwa moja kwenye kelo yangu juu ya Dawasco.
Kumekuwa na changamoto ya kukatiwa maji mara kwa mara na baada ya kukata huyu kijana hatoi maelezo kwa mhusika. Akishakata...
Washtakiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 na mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na...
Mwenyewe ukurasa wowote wa mtandao wa kijamii wa nguri wa Dunia wa utajiri namba 1 wa huyu mwamba anisaidie. Kuna vitu vya kujifunza kwa huyu jamaa asanteni.
Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi...
Nilifika mpakani mwa Tanzania na Rwanda - Rusumo, Jana Usiku!
Baada ya kuzunguka kidogo kwa ajili ya kutafuta pa kulala, niliamua kumwuliza mtu mmoja anioneshe gesti iliyopo karibu...
Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande
Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini
Pia...
Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha...
WAJANJA WA KIDUNIA LEO AMBAO NDIYO WAKAZI WA MOTONI KESHO HUTUMIA UJINGA WA WATU WALIO WENGI
KUJITENGENEZEA PEPO YA KIDUNIA
Tusome katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 5(4) ndipo twende sasa...
SIASA;
1. Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki,
Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi za kupigia kura, Wananchi wanaweza...
Serikali ya Mpito imemfutia Hati za Kidiplomasia za Kusafiria, Sheikh Hasina, Waziri Mkuu aliyeikimbia Nchi kutokana na Machafuko yaliyotokana na Maandamano ya kupinga Utawala wake
>...
"Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo...
Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa...
GENTAMYCINE nikiwa Balozi wa Kujiteua wa Kipindi Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One cha kila Jumapili kwa alivyobadilika ghafla Mtangazaji Mwenza wa Kipindi hicho Haji Kibwana kwa...
Ni jambo ambalo nimelishuhudia na sijui kama watu wengine wanaliona, kwamba katika awamu hii ya utawala wa Raisi Samia kumekuwa na masuala mengi sana yanayohusu wanasheria hawa mawakili wetu...
Ni kuhusu swala la Polisi wetu kukamata watu kihuni. Mara nyingi tume shuhudia Polisi wakikamata watu kihuni, hapa sizumgumzii mambo ya utekaji nyala, isipokuwa ule ukamataji wa kawaida labda mtu...
Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni.
Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana...