Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi...
3 Reactions
4 Replies
672 Views
HATUWEZI KUHUBIRI HAKI NA USAWA HUKU TUKIWA WENYEWE HATUFANYI HAKI NA USAWA WENYEWE TUKILAZIMISHA MUONEKANO TUSIO NAO TUTAKUWA WANAFIKI Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikitoa...
1 Reactions
1 Replies
443 Views
Unaweza kuona kama nafasi hizo ni nafasi ndogo na hazina nafasi katika maamuzi ya mambo mengi ila amini usiamini makazini kwingi sekta za Umma na Sekta binafsi fitina na majungu chanzo chake ni...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Huyu ni Raisi wa Rwanda
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Amesimuliwa wife akiniomba ushauri nikaona nami nililete humu nipate msaada wa MAWAZO Kwan JF ni kisima cha maarifa HATUSHINDWII Wife anafanya Kaz kwenye taasisi moja inayoshughulika na watoto...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, heshima kwenu! Moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hivi karibuni 'Tume huru ya Taifa ya uchaguzi', ilitangaza kuanza kuandikisha/kuboresha/kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura, kwa...
0 Reactions
5 Replies
526 Views
Inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja Kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada...
6 Reactions
18 Replies
727 Views
Msinihukumu kwa uandishi mimi sio mwandishi mzuri azama 1kwa1 kwenye maada yangu..... azam tv mwaka huu mmejipanga vyema sana kwenye upande wa kuonyesha mpra ya nnje nawapongeza na nmekua...
4 Reactions
3 Replies
308 Views
Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu shida hii afu Leo kuna mechi kali tafadhali jinsi ya utatuzi
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Wakuu kuanzia mwaka jana jana nilikuwa na changamoto kubwa ya kipato, kufikia mwezi wa nne nilipata dili ambayo ilihitaji hela ndefu kidogo, ikabidi niuze gari yangu! Sasa toka hiyo April naona...
3 Reactions
16 Replies
696 Views
Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani Kila kitu...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI. Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani...
2 Reactions
14 Replies
733 Views
Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imechuana vikali na wenzao wa Ofisi ya Rais Ikulu ikiwa ni maandalizi ya michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na...
1 Reactions
4 Replies
341 Views
Wakuu,ligi ndio hizooo Naombeni kujua ABC ili kuweza kupata mkopo katika bank ya CRDB kwa dhamana ya nyumba siitaji kiasi kikubwa kama milioni 8 tu inatosha ningependa kujua masharti yao riba...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
---------------- 2024, Aug 24. Dar es Salaam. Saa 3:35 asubuhi. Kwanza nitoe pongezi kwa serikali yetu kutambua na kuheshimu imani za watu. Binafsi ninaamini katika Mungu, tena kindaki ndaki...
1 Reactions
0 Replies
367 Views
Actually, astral travel is the simplest of things, so simple that it is surprising that people cannot do it without trying. But we must also remember that walking is simple. Walking is so simple...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro wamegoma kufungua biashara na kufunga barabara ya Madaraka wakishinikiza Serikali kuwaondoa Wafanyabiashara wanaopanga pembezoni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…