exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,395
- 4,152
Msinihukumu kwa uandishi mimi sio mwandishi mzuri
azama 1kwa1 kwenye maada yangu.....
azam tv mwaka huu mmejipanga vyema sana kwenye upande wa kuonyesha mpra ya nnje nawapongeza na nmekua mfatiliaji sana hasa ligi ya saudi, italy, spain
Sasa kosa ambalo nnaliona kwaupande wangu ni kuitangaza kwa kiswahili mechi kubwa hasa ikiwa uwajani barcarona na real madrid mnakosea sana kwanza inakosa radha ya mpira, mpra unakua kama umeuchoma kwenye kompyuta
mechi zingine hamtangazi mbona zinakaa poa tu ila madrid na barca ndio mnatangaza yaani mnaona mnafanya vzr kumbe mnaharibu yaani hata wale shabiki zile amsha amsha za uwanjani hutuzisikii vizuri kwasababu ya huyo mtangazaji. mtazamo wangu.
Exalioth yuda jamiiforums
natokea Geita vijijini
Asanten