Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Nina miaka zaidi ya minne toka nianze kuishi jijini Dar ambako wenyeji wa huu mkoa ni wazaramo, lakini tofauti na mikoa Mingine ambako ni rahisi kukuta wenyeji wakiongea lugha zao za asili...
5 Reactions
102 Replies
22K Views
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40. Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti. Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi...
2 Reactions
11 Replies
456 Views
Uryevyedi mdau Mtanganyika!. Basi ndugu yangu ikiwa nchi imefunguka na pesa zimejaa kwenye mifuko na account za watu huko walipo hali ipo hivi. Watu/Taasisi binafsi kwa sasa zinatafuta watu wa...
3 Reactions
6 Replies
576 Views
Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan...
1 Reactions
3 Replies
472 Views
Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota...
2 Reactions
8 Replies
586 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana. Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu...
0 Reactions
6 Replies
481 Views
Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania...
3 Reactions
15 Replies
664 Views
Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla...
3 Reactions
2 Replies
341 Views
Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia...
0 Reactions
6 Replies
806 Views
Siku moja watoto walikuja kunitembelea mwaka 2020 wakitoka USA .Bahati mbaya mtoto mwengine alikuwa anajisikia vibaya ikabidi nijifanye daktari wa kubumba nikampa dawa kwa mawazo ya maduka ya...
1 Reactions
1 Replies
289 Views
Wasalaam Wanajukwaa wenzangu. Mapema tarehe 12 Julai, 2024 nimetembelea Ofisi za Jamii Forums kama mojawapo ya taasisi inayojihusisha na habari za kijamii. Lengo la ziara ni kuweza kufahamu...
75 Reactions
148 Replies
12K Views
Leo, Julai 12, 2024, Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, ambaye pia ni mwanachama hai na aliyethibitishwa (verified) wa mtandao wa...
20 Reactions
46 Replies
12K Views
https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
1 Reactions
1 Replies
513 Views
Mpaka rahaa wataelewa tu Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…