Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MBUNGE WANU AMEIR Awaahidi Wanafunzi wa Skuli ya Hasnuu Makame Watakaofaulu Shahada ya Kwanza Kupata Scholarship Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Mwanamke Initiative...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Ikiwa kweli mnafahamu hatua za muhimu za mabadiliko ya mwanadamu na maendeleo ya kijamii katika historia ya kukabiliana na majukumu ya Lazima, lakini pia mahitaji mtambuka ya kila siku. Kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika. 1. Ukristo ni imani ila...
23 Reactions
145 Replies
10K Views
Hakuna msimamizi wa maisha yako isipokuwa ni wewe mwenyewe. Unachokionesha Kwa kujua au kutojua ndicho watu wanachokiona. Siyo lazima watu wakuone kama unavyojiona ila ni lazima watu wakuone sawa...
3 Reactions
10 Replies
634 Views
Baada ya kufanya vipimo vya DNA ili kujua babu yake alitoka wapi barani Africa, amegundua kwamba babu yake alitoka Congo. Ingawa hakuweza wazi whether is Brazzaville or Kinshasa but tuna assume...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Anonymous
Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao. Idara za masoko za makampuni ya kukopesha...
1 Reactions
1 Replies
949 Views
Nakumbuka kuna idadi ya wanafunzi waliotengewa nafasi za MD kwa diploma qualification. Huwa ni nafasi ngapi?
1 Reactions
4 Replies
866 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo Agosti 27, 2024. Ameapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, katika kikao...
0 Reactions
3 Replies
576 Views
Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
0 Reactions
1 Replies
429 Views
UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti 26, 2024 wametembelea bandari ya Tanga. Kamishna Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
433 Views
1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope. 2. Watumishi...
4 Reactions
7 Replies
644 Views
SHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam إنا لله وإنا إليه راجعون INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya...
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Habar zenu wanajamvi. Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Kwamfano ikitoa mchungaji au kiongozi yeyote au mfuasi kapga tukio baya kwelikweli au lakitapeli basi magoli yatahamisha kwadini hadi ambayo haijahusika na kadhia hyo ambao n Uislam na utaskia...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha...
1 Reactions
3 Replies
575 Views
Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
2 Reactions
18 Replies
742 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wakuu wa nchi watakaoshiriki uzinduzi wa kampeni za uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), unaowaniwa na Raila Odinga. Ushiriki wa Rais Samia...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya...
1 Reactions
0 Replies
492 Views
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…