Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za...
Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar β Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa...
UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI πHapa...
Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums), Jijini Dodoma, unaelekea leo Septemba 5, 2024 ikiwa ni siku ya pili yhangu ulipoanza...
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi.
Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna...
Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo.
Mara tu baada ya kudhibiti...
Aisee wakuu hili jambo sio poa, kuna jamaa huku alinunua Kiwanja mwezi uliopita milioni 8 kumbe kile Kiwanja ni Cha mgogoro aisee na katika kupeleleza watu zaidi ya wa 3 wameshauziwa jamaa...
WAZIRI JENISTA MHAGAMA: HADI NOVEMBA 10 MIFUMO YOTE YA AFYA ISOMANE KURAHISISHA HUDUMA ZA TIBA KWA WAGONJWA
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametoa maelekezo kwa Idara ya Tiba Wizara ya Afya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Wagonjwa wa Kipindupindu waliongezeka kwa 13% mwaka 2023 huku Vifo vikiongezeka kwa 71% kulinganisha na takwimu za mwaka 2022.
Taarifa imeeleza Nchi 45...
Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa,
Waziri wa maliasili ajiuzuru?
Waziri wa ulinzi ajiuzuru...
Leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 ni siku nyingine ya matumaini kwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, anayekabiliwa na kesi ya jinai, kurejea...
Wakuu,
Nini kifanyike mbona haya mambo yanazidi sana? Ni kwamba wanaume tumezidiwa sana na ugwadu au ni madomo zege sana hatuwezi kutongoza siku hizi? Au shida ni nini? Au ushirikina!
----...
Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha...
Kiukweli nianze kwa kusema atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa kutupa neema ya siku ya leo. Moja kwa moja nikienda kwenye hoja napenda kuweka hoja mezani kama kichwa cha habari kinavyosema.
Kwa elimu...
Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART).
Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka...
Leo asubuhi nimeamka na hamu ya BAGIA ZA IRINGA, hasa za KALENGA!, liliko fuvu la Chifu Mkwawa aliyekuwa kiongozi wa Wahehe aliyepinga ukoloni wa Kijerumani mwishoni mwa karne ya 19 kabla ya...
Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr. Ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa Afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa. Hata kama siyo kumpa...
Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa.
Ndugu...