Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki. Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta...
0 Reactions
6 Replies
403 Views
Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
612 Views
HabariLeo? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini? Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam wanajf Kama kichwa mada hapo, hili suala linasikitisha sana kwa kweli nimeona nitoe ya moyoni juu yanayoendelea, inasikitisha sana pale ambapo tunaona Rais anafumua mifumo ya mtangulizi...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo...
0 Reactions
12 Replies
841 Views
Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi? Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilileta uzi hapa kuomba ushauri Tv gani nzuri kwa bajeti ya 500k... Wachache walisaidia, wengi waliponda bila kutoa msaada, nikaona isiwe tabuu nitumie zangu mwenyewe Hatimaye nikazama mjini...
82 Reactions
145 Replies
22K Views
toka asubuhi ukiifungua inakuwa blank as if hamna tena? tumesha update taarifa ila ukibonyeza mshiko fasta inakaambia nenda uka update namba yako ya simu sa nashangaa tume update mpaka maa alama...
4 Reactions
4 Replies
852 Views
Leo hii tumetambua umuhimu wa treni kwa uchumi wa taifa letu. Mabasi ni kero kubwa sana. Na yanachelewesha sana. Sasa lini? Dodoma Mwanza kitakamilika? Soma Pia: Samia Great Railway (SGR)...
1 Reactions
6 Replies
922 Views
Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Makutano ya lumumba na mkunguni, nikiwa naendesha pikipiki ghafla katikati ya bara bara nikavamiwa na bajaji mbili, moja mbele moja nyuma Wakashuka watu wanne na kuchukua funguoza pikipiki huku...
18 Reactions
18 Replies
1K Views
Mods ole wenu mfute huu uzi. Mimi kama kinara wa maandamano haya nasema hivi, vitendo vya utekaji, mauaji na unyanyasaji wa ndugu zetu vinaonesha jinsi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilivyo...
2 Reactions
15 Replies
658 Views
Hellow JF. Hivi sasa jamii zetu zinapitia wakati mgumu sana katika swala la malezi na makuzi ya watoto ukilinganisha na jamii za miaka ya yuma. Hivi leo kumekuwa na visa vingi sana mitaani...
1 Reactions
6 Replies
931 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimekereka sana na huu uongo kwenye hii movie Yaani nashuhudia kabisa Stelingi katandikwa risasi kisogoni lakini amepona na akawatembezea kichapo maàdui zake! Risasi ya...
5 Reactions
10 Replies
534 Views
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje? JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Anonymous
Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani. Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna...
10 Reactions
7 Replies
769 Views
Ni hivi serikali imeweka IVF ni upandikizaji wa mimba. Sasa kwa wale wazee walioa vigoli na hamuwezi kumpa mwanadada mimba natural way basi unaweza peleka mbegu zako akawekewe mtoto ulee wajukuu...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu hii rangi imelaaniwa . Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna. Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho...
37 Reactions
101 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…