Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo, Waziri wa Fedha na taasisi saba zikiwamo kampuni, inatarajiwa kusikilizwa leo Jumatano Septemba...
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Halafu ukute huyo Mbwa mwenyewe wa Afrika hana hata Afya na hajui Kukabiliana na Adui ila kutwa Kujitutumua tu.
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Yaani kama Mtu mzima hadi sasa hujajua na hujui kuwa Balozi ni Mwakilishi namba Moja wa Rais wa Taifa husika nchi fulani na kwamba kila Siku au mara kwa mara huwa wanafanya Mawasiliano ya moja kwa...
5 Reactions
2 Replies
329 Views
Naomba nijikite kwenye mada na itapendeza ukiweka mchango wako kwenye uzi huu. Nadharia ya maisha na ushahidi wa kihistoria unaonyesha kuwa kuna watu walipokutana na watu flani maisha yao...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Jina Bagamoyo linatokana na maneno ya Kiswahili "bwaga moyo," maana yake "weka moyo chini," ikionyesha jukumu lake la kihistoria kama mahali pa kupumzika na matumaini. Kabla ya kuwa mji mkubwa wa...
5 Reactions
7 Replies
860 Views
Wana jf naomba kufahamishwa tofauti ya majukumu kati ya Mamlaka ya viwanja vya ndege na Mamlaka ya usafiri wa anga. Kwanini hizi mamlaka zisingeunganishwa ikawa moja ,yaani mamlaka ya viwanja vya...
2 Reactions
2 Replies
546 Views
Kuna huyu mwalimu rafiki yangu hapo halmashauri, mwezi wa pili amekopa 28m kutoka CRDB, amechukua 23m kumfungulia mke wake wa mtoto moja duka la boutique hapo centre. Biashara ina miezi 8 ila...
75 Reactions
256 Replies
11K Views
Wakazi wa maeneo ya Bulumawe mtaa wa wa Dovya kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni tulikuwa tunapata shida sana hususani kipindi cha mvua kutoka na ubovu wa barabara. Lakini sasa kipande cha...
2 Reactions
1 Replies
464 Views
Kuna tetesi kwamba Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments), itafanyika kwa kila mlengwa kwa kuzingatia mwezi wa ajira ya mwajiriwa....Kwa mfano kama uliajiriwa mwezi wa tano, basi Nyongeza hiyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
💼 MHADHARA NA.4 Wapo wanawake ambao baada ya kuolewa wanaamua kufunga biashara zao halali walizokuwa wakizifanya awali kabla ya kuolewa, kuna ambao wanaamua kuacha kazi, wengine walikuwa mbioni...
1 Reactions
0 Replies
338 Views
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh Abdallah Mwaipaya amesema akiwa DC wa Mwanga aliingia Kanisa la KKKT mara nyingi kuliko Wakristo wengi Kwa sababu ya kuvutiwa na Hayati askofu Dr Sendoro. DC Abdallah...
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola ...
40 Reactions
104 Replies
6K Views
Habari wapendwa! Katika shughuli zangu za ufundi umeme huwa ninatembea na jenereta! Baada ya kazi huwa natest mitambo ili mteja wangu aone kila kitu kinavyofanya kazi. Hivyo nikiwa Dar nikinunua...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta? Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa kuwa miaka 40 wanaanza kuhesabu ni mzee, umepevuka, nami nimefika hapa ni muda wa kuwatia moyo wengine kwamba chochote unachokifanya,kifanye kwa moyo na akili yako yote ili kikupeleke hatua...
7 Reactions
14 Replies
926 Views
Benki gani unapiga simu hawapokei na unaambiwa eti utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, mitandao yenyewe ukienda haujibiwi instant. Benki gani eti miezi miwili net unafatilia mkopo...
2 Reactions
17 Replies
665 Views
Anonymous
Changamoto yetu kubwa kutoka Mtaa wa Kanindo Kata ya Kishiri Nyamagana Mwanza ni suala la maji hakuna kabisa. Wakazi wa maeneo haya wanapata sana tabu ya kupata maji hata ya kunywa. Mradi wa maji...
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Watu watatu wameuawa, huku mama mwenye nyumba akijeruhiwa na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Segubwawani, Kata Nala jijini Dodoma. Waliouawa ni watoto wawili wa familia moja ambao miili yao...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…