Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waheshimiwa Waafrika wenzangu mlioko hapa Mosi kabisa nipende kuchukua Fursa hii Kunikaribisha Mimi GENTAMYCINE kuja Kujumuika nanyi katika hili Tukio lenu la kutimiza Miaka 120-60 katika...
2 Reactions
11 Replies
973 Views
Ninapolipa nauli ya Bus hakuna kipengere kinachonitaka kitazame movie au miziki. Mabus mengi ya mikoani ukiisha ingia waanza kukuwekea nyimbo za injili ( wazee kwa kaswida wanapuuzwa), Kisha...
13 Reactions
65 Replies
2K Views
Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
0 Reactions
3 Replies
379 Views
Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni...
1 Reactions
4 Replies
749 Views
✍️"Zeno wa Citium Hii ni kanuni kuu katika kuishi, kila jambo lina taswira ya umilele lakini halina hakika ya umilele, kila wakati mambo hubadilika Una muda wa kufikiria kuwa unaye mtumaini ipo...
4 Reactions
3 Replies
264 Views
Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kufanya kazi ambayo unatishiwa kufukuzwa kila siku. Hali hii inauwa kabisa ubunifu na uchapa kazi maana huna uhakika na kesho yako. Au ulishawahi kuwa na cheo...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Habarini wanajamii forum,, nilikuwa nahitaji msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu ya accountant with it,,maana ndo niliyoipata kuhusu upatikanaji wake wa ajira au kwa kujiajiri binafsi...
1 Reactions
2 Replies
670 Views
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam Taarifa zaidi kuhusu taratibu za...
12 Reactions
101 Replies
58K Views
Ni muhimu sana Nataka kununua kadi yaani N- Card nipo Tegeta kimakazi Naomba kuelekezwa wapi naweza pata huduma hiyo? Nasisitiza nahitaji kununua tu hivyo mniambie wapi naipata Aksanteni
1 Reactions
8 Replies
692 Views
Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika...
1 Reactions
2 Replies
271 Views
Wanabodi. Mwandishi Mkongwe wa TBC Benjamini Rwegasira aliyekuwa katika kituo cha Bukoba na baadaye kuungua ugonjwa wa kiharusi kwa kipindi kirefu amefaiki dunia na kuzikwa katika kata ya Gera...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi...
1 Reactions
4 Replies
525 Views
Kwanza WAALIMU tunawapenda sana ndio maana tumewaamini kuwafundisha Watoto/wadogo zetu. Lakini hii imekaaje unatoa oda zaidi ya wanafunzi wa 5 wakuletee fimbo za kuwaadhibu? Hatukatai adhabu...
4 Reactions
10 Replies
591 Views
Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na...
8 Reactions
18 Replies
984 Views
Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu. 1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza...
6 Reactions
12 Replies
764 Views
Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo, Waziri wa Fedha na taasisi saba zikiwamo kampuni, inatarajiwa kusikilizwa leo Jumatano Septemba...
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…