Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NCHI A. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema Kwa kunifikisha hapa, Pili nimshukuru rais, Dr, amiri jeshi mkuu, mheshimiwa. Kwa kujitoa kwake Kwa nguvu zote bila kuchoka -...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Nina willing ya kuwasaidia wasiojiweza yaani walemavu, yatima, na wenye maisha duni. Kwa kusema hayo ninaomba mawazo yenu lakini pia kwa aliye tayari ani pm kwaajili ya kutoa sadaka yake kila...
6 Reactions
24 Replies
762 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Maafisa Ardhi kutouza holela ardhi hali ambayo imekuwa chanzo cha migogoro ya ardhi sehemu mbalimbali nchini...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza...
3 Reactions
14 Replies
891 Views
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua...
25 Reactions
86 Replies
4K Views
Hello! Shalom Kuna huduma kuu 5 ambazo ni Utume, unabii, Uchungaji , ualimu na Uinjilisti. Kwasababu ya watu kukosa MAARIFA ya ndani juu ya huduma wengi huishia kujiita Wachungaji, Walimu na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na...
50 Reactions
158 Replies
11K Views
Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho...
2 Reactions
4 Replies
471 Views
Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet...
1 Reactions
4 Replies
805 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha kero yangu ambayo imekuwa ya muda mrefu katika stendi kuu ya mabasi Dodoma ambapo wasafiri wanaoingia humo hulazimishwa kulipa ushuru wa halmashauri kiasi cha tshs 300/= hata...
1 Reactions
7 Replies
707 Views
Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni. Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG...
85 Reactions
408 Replies
19K Views
Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake. Watu wa mbeya hii inawahusu sana. MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
2 Reactions
11 Replies
470 Views
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la...
0 Reactions
18 Replies
902 Views
Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye...
4 Reactions
7 Replies
687 Views
Wakuu, Leo katika pitapita zangu maeneo ya Morroco nimekutana na gari za polisi za kutosha wakiwa wamevalia special kupambana na waandamanaji samba samba na hilo pia gari za maji ya kuwasha zlikua...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake...
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…