Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh...
1 Reactions
5 Replies
574 Views
Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake. Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Nataka niwe karibu na Mungu, nataka Mungu aongee na mimi kupitia kitabu cha biblia, Safari yangu ya kusoma biblia ni nzuri sana na kila ninaposoma nafarijika na kujiona nimekuwa tofauti na zamani...
39 Reactions
68 Replies
4K Views
Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wana jamii. Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu? Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna nyakati naona jumbe kupewa gawio na mtandao wa simu, unakuta ni kama Sh 38 n.k. Naomba kuuliza, mimi si mwanahisa wa kampuni ya simu yoyote, ni mteja tu. Kwa nini wanajipa gawio? Kiasi cha...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Honestly ndio ukweli. Salamu ni muhimu maana hatupo sehemu moja wakuu! Kwa hali ilivyo sasa ivi Hatuwezi tena kutoa maoni juu ya namna nchi yetu itakavyoendeshwa Kwa sababu ukitoa maoni ambayo...
1 Reactions
14 Replies
768 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Watanzania na wadau wa sekta ya Utamaduni na utalii kuona namna ya kuufanya utamaduni kuwa biashara ili...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania sijui tuna shida gani jamani, labda ni umaskini unasumbua sana ila ukweli hatupo sawa. Imagine mtu anaonea wivu ndoto ya mtu! Waswahili wanasema akumulikie mchana usiku atakumaliza...
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela...
1 Reactions
5 Replies
343 Views
TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano...
46 Reactions
146 Replies
6K Views
SHIRIKA la umeme nchini(Tanesco),limetoa shilingi Bilioni 18.5 kwa ajili ya utekelezaji wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 vya mkoa wa Kilimanjaro . Utekelezaji huo utafanywa na mkandarasi...
0 Reactions
7 Replies
426 Views
Mwenge wa Uhuru Wilayani Ngara umetembelea na kuzindua Mradi wa Maji Wenye Thamani ya shilingi Bilioni tatu chini ya Ufadhilii wa Benki ya Dunia kupitia LADP (Local Area Development Program)...
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Naam bila shaka wote wazima. Mimi sio mwanasiasa hivyo sio mtaalamu sana na siasa ,ila naelewa maisha yangu 100% yanaongozwa na siasa. Siasa ndo inapanga bei ya mkate,mafuta,vyakula nk ,siasa ndo...
6 Reactions
3 Replies
450 Views
Tunakubali Lengo la Samia ni kutaka kuponya uchumi,jamii,mashirika na siasa ya Tanzania lakini mambo yamekwenda mrama pale anapoonekana hayupo tayari kuiruhusu demokrasia anayohubiri dhidi ya...
2 Reactions
2 Replies
206 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameweka jiwe la msingi katika shule ya Sekondari Makowo iliyojengwa kupitia Mradi wa kuendeleza Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Akizungumza...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Katika mchakato wa ujenzi wa madarasa ya shule za msingi, kuna masuala kadhaa ya kuzingatia kuhusu matumizi ya madirisha ya aluminium bila kuweka nondo. Kwanza, ni muhimu kujua ni muda gani...
0 Reactions
4 Replies
949 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…