Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Karibuni katika darasa huru Tuelimishane! Serikali ikiwa ndiyo yenye dhamana ya kuingiza mafuta nchini; na kuyauza kupitia bandari yetu; Hoja iko hivi; Kama mwagizaji wa mafuta haya ni mmoja na...
3 Reactions
69 Replies
11K Views
Anonymous
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea mkoani Ruvuma wakiwemo wauguzi na wafamasia wametishia kuishtaki hospitali hiyo kwa madai ya kutokulipwa mishahara yao ya mwezi...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Jana jioni natoka Dar kuja Msata Vituo vingi sana vilikuwa havina Diesel wala Petrol Leo asubuhi Vituo Vyote vinasoma Mafuta yapo na bei ya Mkoa wa Tanga Ndio nashangaa haya Mafuta yameshusbwa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hapa nitasimulia kilichotokea katika uhalisia wake! Kuna mafuta mazito ya kuendeshea mitambo yanaitwa IDO (INDUSTRIAL DIESEL OIL) Haya yanapatikana kwa njia mbali mbali lakini zilizo maarufu ni...
25 Reactions
49 Replies
6K Views
Haya wale wamiliki magari,mtindo mpya umeibuka!Wakati wewe ukiamini mafuta yanawekwa kwa tanki la Gari,kumbe muweka mafuta anakuziba ili usione dumu dogo ili aweze kuwa anakuibia jionee kwa picha
5 Reactions
102 Replies
14K Views
Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya...
2 Reactions
10 Replies
986 Views
Moja ya jambo la ajabu ni kuwa wanaotupenda hawapati kinacho stahili na tunaowapenda hawatupi tunachostahili. Hii ni mlinganyo wa kiasili au inakuaje? Unaweza kuta unampenda mwanamke asiyekupenda...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Mhadhara 30: Aliwahi kusema kiongozi wa zamani wa Ujerumani kwamba:- "Fikiri mara elfu kabla ya kuchukua uamuzi, lakini baada ya kuchukua uamuzi kamwe usirudi nyuma hata ukipata shida elfu" Je...
1 Reactions
1 Replies
384 Views
📖MHADHARA WA 28: SHERIA 1: Mponde kabisa adui yako Hii ni SHERIA YA 15 kati ya zile SHERIA 48 zilizoandikwa na ROBERT GREENE katika kitabu chake cha "THE 48 LAWS OF POWER" Mapitio: Waponde adui...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
Nakuliza wewe mwanaJF maana maji yamekuwa dhahabu, kupatikana wa nadra hapa Tanzania hususan Dar es Salaam. Waione Wizara ya Maji USSR
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda...
0 Reactions
3 Replies
608 Views
Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je...
3 Reactions
16 Replies
801 Views
Kwa vyovyote vile nitakuwa wa mwisho na wakwanza kuajua faida za mwenge. Sioni faida wala umhimu wa huu mwenge kuwepo, mwenge umekuwa na karaha pale unapoenda sehemu yeyote. Kuna siku nimeitwa na...
1 Reactions
0 Replies
494 Views
Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi. Hii imesababishwa na gharama za bastola au...
4 Reactions
19 Replies
837 Views
Huu ni Mwili wa Carlo Acutis. Carlo alifariki miaka 19 iliyopita kutokana na kansa ya damu. Wakati anafariki alikuwa na umri wa miaka 15. Katika uhai wake Carlo alitengeneza website ambako alikuwa...
16 Reactions
84 Replies
14K Views
Sitetei upande wowote ule lakini ukweli umuweka mtu huru. Jambo ambalo nimebaini kwenye maofisi mengi ambayo yanamkusanyiko wa watu wengi hasa Wakristo ukikuta wanapiga stori ujue wanawasema...
1 Reactions
20 Replies
712 Views
Daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wayahudi weusi humu jf wamekua na siku ngumu sana jana na leo Mtu kama @nyaningabu amelia sana tokea jana Watu kama Mlaleo haamini...
4 Reactions
7 Replies
523 Views
Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi. Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu...
18 Reactions
79 Replies
8K Views
#HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi Siwezi sema ni tatizo la signal...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…