Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi yake Nairob Kenya Mh.Zsolt Meszaros akiwa na ujumbe kutoka Hungary...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Mradi wa miundombinu wa Lobito Corridor, unaounganisha nchi nne za Afrika, uko tayari kutekelezwa baada ya Marekani kutoa msaada wa kiufundi kwa ajili ya utafiti wa athari za mazingira. Utafiti...
1 Reactions
1 Replies
616 Views
Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake...
2 Reactions
4 Replies
584 Views
Pasipo kitu ndio upo, pasipo kitu ndio chanzo cha kila kitu. Hivyo basi, endelea kuwa hadi usiwe kitu chochote kwa kuwa katika si chochote ndio kila kitu kipo hapo. Hivyo ukiweza kuwa hapo...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other...
53 Reactions
385 Replies
16K Views
Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR. Matambiko, mila potofu, taboo...
11 Reactions
56 Replies
7K Views
Hivi kwanini Kanisa lisiruhusu waumini kuoa mke zaidi ya mmoja?Sioni sababu ya kukataza Wakuu ni kwanini tu kanisa lisiruhusu waumini kuoa mke zaidi ya mmoja?Maana kusema kweli watu wengi...
0 Reactions
11 Replies
858 Views
Habari ndugu zangu Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya...
37 Reactions
219 Replies
7K Views
Anonymous
Watumishi wa Afya akiwemo Daktari Mbobevu, Maafisa Wauguzi na Wateknolojia wa Maabara wanaidai Hospital ya Rufaa Peramiho iliyopo mkoani Ruvuma mishahara yao ya mwezi Septemba. Kama chombo cha...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Bila Kanisa Katoliki: Ukristo usingeenea Duniani Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa Ukristo usingeheshimika UKRISTO ungefutika na...
31 Reactions
346 Replies
15K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Oktoba 05, 2024 katika Siku ya Walimu Duniani ametoa salam za heri ya Siku ya Walimu Duniani akiwa Mkoani Njombe. Katika Salam zake...
2 Reactions
4 Replies
553 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Shule mpya ya Sekondari ya Yombo iliyojengwa katika Kata ya Ikuna Wilaya Njombe, Mkoani Njombe Akizungumza Oktoba 03,2024...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Suala la matumizi ya lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia laibuka tena Bungeni wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu leo tarehe 7/04/2024. Akichangia hoja Mbunge kutoka zanzibar...
2 Reactions
3 Replies
569 Views
Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania. Kwangu mimi ni chombo pekee...
1 Reactions
1 Replies
404 Views
Hali ya sintofahamu imeendelea kutawala kuhusu alipo Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Felloship (BGBF) Zachary Kakobe. Ikiwa ni miezi michache imepita tangu Frank Zachary Kakobe ambaye...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Pia soma: ~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2 ~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hizi taa za kuongoze magari zilizopo maeneo ya Kituo cha Magari cha Nata hapa Mwanza ni changamoto kubwa, hazifanyi kazi na zimekuwa zikisababisha foleni zisizo na sababu. Eneo hilo limekuwa...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Ningependa nitembelee sharika zote na mitaa yote ya kanisa la KKKT iliyopo dar es salaam ili kuimaliza yote kama kuna ibada za katikati ya juma pia nishiriki huduma hizo.nambie unaabudu kanisa la...
0 Reactions
5 Replies
254 Views
Naomba kuuliza wapi naweza kupata kava za kuvalishia godoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama 💔😂 nipo dar
1 Reactions
6 Replies
549 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…