Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kaka (pangolin) ni mnyama wa kipekee ambaye historia yake inarudi nyuma mamilioni ya miaka. Pangolini wanaaminiwa kuwa walitokea wakati wa Eocene (takriban miaka milioni 55 iliyopita) na...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Ushirikiano kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena. Naamini muda sahihi...
19 Reactions
66 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Msemo huu ulitolewa na Shirley Chisholm (Mwanamke wa Kwanza Mwafrika-Amerika katika Bunge la Marekani): – Huu ni ujumbe kwa wanawake kwamba wanapaswa kutengeneza fursa pale ambapo hazipo...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Nadhani hivi karibuni kila Mtanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla, wameshangazwa na kufadhaishwa na kauli ya Raisi Samia kutoa agizo kwamba madini yaliyoko Serengeti yachimbwe, kwa sababu simba...
22 Reactions
115 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mara nyingi nimekuwa mtu wa usiku mwingi nikitoka kwenye shughul zangu, sasa changamoto niliyo nayo niko mbali na nyumbani, na ninategemea kukaa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada husika Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Anonymous
Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo. Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa...
1 Reactions
1 Replies
273 Views
Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere iko mkoa wa Shinyanga halmashauri ya Msalala na matokeo ya kidato cha tano & sita wasichana (PCM na PCB tu) wastani wao wa kufaulisha unakaribiana sana na...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Palmistry ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na kutafsiri utu wa mtu kutoka kwa muundo wa mistari ya mikono. Wakati mwingine mistari hii inaweza kuunda hata nambari na herufi. Moja ya...
32 Reactions
211 Replies
22K Views
Mara ya kwanza nilienda mwaka 97 nikiwa darasa la 6. Mara ya pili nilienda mwaka 2009 kufuatilia ISBN ya kitabu changu nilicho andika. Kitabu kilikuwa kinaitwa " CHABO". Now nataka kwenda kwa...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Baada ya kumaliza kumsikiliza mahitaji yake ya shule, basi sikuwa nimeikata sim (hapa nikiri kwamba sijui sababu). Basi nikasikia upande wa pili kijana akimwambia mwenzake (wakike) kwamba...
54 Reactions
142 Replies
59K Views
Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya...
48 Reactions
126 Replies
9K Views
Prof. Minzi na wengine! Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral...
38 Reactions
58 Replies
5K Views
Bongo Flava ni jina Mbadala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la...
4 Reactions
20 Replies
46K Views
Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi...
40 Reactions
142 Replies
8K Views
Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kuridhishwa na matumizi ya fedha yaliyotolewa kwa awamu na Serikali ambapo kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Siku hizi, kazi sio lazima zifanyike ofisini au kwa mkataba wa miaka mingi kama ilivyokuwa zamani. Tumeingia kwenye ulimwengu wa gig economy, ambapo unaweza kufanya kazi kwa muda mfupi (gigs) na...
1 Reactions
7 Replies
667 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…