Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu. Ni wiki sasa kuna mlipuko wa ugonjwa wa ajabu kidogo na dalili zake ni kuumwa kichwa, mafua, homa kali ikiambatana na joto kali sana na mwisho ni kuumwa mifupa. Mimi nimelala...
1 Reactions
12 Replies
761 Views
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi Na wachawi wengi...
54 Reactions
211 Replies
11K Views
MAISHA YA NIKOLA TESLA NA MAWAZO YA KUSAMBAZA UMEME WA WIRELESS BURE DUNIA NZIMA Nikola Tesla alizaliwa julai 10 mwaka 1856 huko Smiljan Austria Empire ambayo kwa sasa ni Croatia akiwa ni mtoto...
3 Reactions
3 Replies
846 Views
Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza. Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Sio siri, wenzetu hawa set up ya elimu yao imejibu tatizo la ajira. Ni kawaida kuwasikia wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda China wanakwambia kwamba nenda na sampo tu, mengine mchina anamaliza...
1 Reactions
10 Replies
751 Views
Binadamu anapambana ili kupata mahitaji yake muhimu. "Kupambana" Hapa atafanya whatever it takes ili ajihakikishie uhakika wa maisha na mahitaji yake. Ikitokea ameahidiwa kupata uhakika wa...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari ndugu zangu, napenda kwanza kuwajulisha kuhusu nyaya feki, na pili kuzijulisha mamlaka husika zichukue hatua kwani jamii inaumia. Waya hizo ni za twin ambazo 1.5mm na 2.5 mm hazijai vipimo...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Sababu inayomfanya mtu yeyote asifanikiwe ni kushikwa na kuonewa na Ibilisi. Unaweza kukamatwa haswa na Mr. Shetani huku ukiwa muumini mzuri wa Imani, sometimes unaweza kuwa kiongozi wa dini na...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Elimu ni Ufunguo wa Maisha. Mtu Mwenye Elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na Elimu. Ni Ujinga na Ubwege wa kiwango cha PhD pale Msomi anapoamua kuikataa Elimu aliyo nayo na kuamuwa kuwa...
3 Reactions
3 Replies
355 Views
Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini huadhimishwa Oktoba 15 kila mwaka ikilenga kutambua jukumu na mchango muhimu wa Wanawake wa Vijijini katika kuimarisha Maendeleo ya Kilimo, Kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe...
3 Reactions
7 Replies
788 Views
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha...
1 Reactions
2 Replies
792 Views
YAJUE MACHACHE KUHUSU NCHI YA BRUNEI 1) Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni....nazo ni LIBYA na BRUNEI 2) Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake...
17 Reactions
41 Replies
4K Views
Unajua kwanini ulimwenguni kote watu huziona serikali zao kama zinazingua jibu ni kwa sababu hazitekelezi yale iliyoahidi. Kutamka ahadi huwa rahisi sana nyingine huwa ni ndogo mpaka unahisi...
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Inaonekana kuwa kwenye Misa Takatifu huko kwenye Parokia ya Matosa, waume wamelazimishwa na Padri kuwaomba msamaha wake zao kwa namna ya 'udhalilishaji'. Nasema wamelazimishwa, kwani sidhani kama...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
VODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Website ya BOT haipo hewani, shida inaweza kuwa nini? Kama Kuna njia mbadala ya kuwapata nipatiwe nina shida nao.
1 Reactions
4 Replies
490 Views
Habari za asubuhi wakuuu. Inawezekana nikaonekana kama ni jambo la ajabu kwa wakati huu lakini Hadi kufikia umri huu nimeshashuhudia wanaume wengi responsible wakitelekezwa na familia au watu...
58 Reactions
133 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…