Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale...
2 Reactions
5 Replies
359 Views
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya...
0 Reactions
4 Replies
471 Views
Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Mwanzo nilikuwa muumini mkubwa wa hawa wa kuitwa motivational speakers ilikuwa haipiti siku sijasikiliza mausia yao kuhusu maisha hasa hasa mbinu za kupata utajiri na kufikia malengo maishani...
7 Reactions
8 Replies
698 Views
Ni lini Waafrica tutajitambua na kujipambania tuache kutukanwa na kudharilishwa kiasi hichi? --- Bilionea maarufu duniani kutokea nchini Marekani Bill Gates anaeleza namna ambavyo mazao...
11 Reactions
107 Replies
7K Views
Wafanyakazi wanne wa taasisi ya mikopo ya OYA wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia ya Juma Said Seif (45), mkaazi wa Kitongoji cha Mbagala Mlandizi...
11 Reactions
98 Replies
5K Views
Salaam, Naulizia kuhusu hili kundi la watu laki kadhaa ambao watakuwa vyuoni mwezi na tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Wengi wamejiandikisha kwenye vituo vilivyopo majumbani kwao ambapo...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku. Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu...
15 Reactions
91 Replies
6K Views
Hili swali huwa najiuliza sana maduka mengi ya Computer na laptop Kariakoo wauzaji kama sio wamiliki wana asili au Somalia!
3 Reactions
3 Replies
381 Views
Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Tunatakiwa kutenda mema, siyo ili matendo mema yatupeleke mbinguni, hapana!, tunatenda mema ili kuthibitisha uwepo wa neema na kumtukuza Baba yetu wa mbinguni. Waefeso 2:8-9, Mathayo 5:16 Hakuna...
4 Reactions
5 Replies
287 Views
  • Closed
Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na...
25 Reactions
77 Replies
5K Views
Wakuu mjini hakuna mafuta kabisa. Inakuwaje? Uhaba wa gafla bin vuu.
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu habari za Muda huu? Naomba mwongozo juu ya yupi anayepaswa kumsalimia mwenzake ikiwa mmoja ana umri mkubwa kumliko bosi wake,mfano Mimi niwe na umri wa miaka 50 harafu bosi wangu ninaye...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kuingia katika uongozi Na Thuwaiba habibu Sheha wa michamvi Khadija hassani haji amewaomba wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kushiriki katika uongozi...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Kwanini wakristo hampendi kufata mafundisho ya dini yenu badala yake kufata ujanja ujanja mwingi? Bikira mariamu mama wa Yesu alivaa hijabu, kwanini nyinyi hamfati mila yake, au mnapenda kufata...
16 Reactions
201 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…