Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa...
Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru.
Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ??
Na kuna michezo...
Kwema?
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa...
Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao!
Any way
Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na...
Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini
Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence...
Dodoma, Tanzania – Katika hatua muhimu ya kuendeleza juhudi za serikali za kuhakikisha kuwa raia wote wanapata bima ya afya, kampuni ya bima Tanzania ya Britam ilitoa bima ya afya bure katika...
Habarini jirani zangu,
Sio vibaya nikiwasanua kuhusu hii dawa ya wadudu wanaosumbua ndani ya nyumba zetu. Jamani sifanyii promotion ila nimeitumia hii dawa na nimeikubali, sioni kuanzia sisimizi...
Hii dawa ya vidonge kwa binadamu kutibu maumivu inashangaza sana kwa namna inavyoua panya bila kubakiza hata mmoja.
Siku za karibuni nilijikuta nimevamiwa na panya zaidi ya 20 na kuzaliana ndani...
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa...
Wanajamvi ngoja nilibwage, Barabara inayotoka Kwenye mataa jirani na Stendi ya Mabasi kuelelekea Uwanja wa Alhasan Mwinyi ni imeharibika kwa kuwa na mashimo jambo ambalo linaleta adha kwa...
Leo tutumie platform hii kutambua, kuthamini na kuheshimu majasho ya mama zetu katika kutuandalia maisha yetu ya leo.
Binafsi naheshimu na kutambua thamani za Baba zetu katika kutufanya kuwa...
Habari wanajamvi,
Ukiachia mbali kupigia kura 😆🤤 Hivi kitambulisho cha kupigia kura kinaweza kuwa na matumizi mengine ya ziada?
Au niache kujisumbua kwenda kupanga foleni bure!
Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea...
ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka...
Katika Mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window - TeIW) kwa awamu ya kwanza ambao...
Wakuu mimi nikijana mpambanaji kiukweli mm ni Mtanzania halisi kabisa.
Kwa sasa niko huku 🇰🇪 Kenya ila maisha haya kwa Ruto sijaridhika wazee mm kwa haraka nimefikiria Botswana 🇧🇼
Kwa sababu ni...
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu...