Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako
Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni
Majumba...
Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini...
Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks.
Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia...
Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea
"Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na...
Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti...
JE UNASALI NA MWENZA WAKO PAMOJA?
FAIDA ZA MUME NA MKE KUSALI PAMOJA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kusali pàmoja kûna epusha migogoro isiyo na ulazima.
2. Kusali pàmoja kûnawapa Muda wa...
Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki.
Ndio...
Baba wa familia na mkazi wa barabara ya nne jijini Tanga Alii Bagidad (60) mwenye asili ya Kiasia ambaye mke wake pamoja na dada wa kazi walikutwa wamenyongwa pamoja na kutobolewa macho yao wiki...
JIFUNZE KUISHI UHALISIA KABLA YA UHALISIA WENYEWE HAUJAFIKA ✍️
Hii ni kanuni nzuri sana na ukifanikiwa kuiishi kuna mambo hayatakusumbua kwa sababu tayari ulijiandaa kabla ya utokeaji wake na...
Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako...
Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani.
Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake...
Yeeerrreeehhh!
May 2021 Hamaswalianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel.
Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi...
Nakumbuka nywele zilikuwa nyingi sana hadi ikawa kero, nilipopata muda jioni ikabidi niende mtaani kunyoa,
Kinyozi alikuwa kavaa kiheshima na yeye kanyoa kiheshima nywele zake, hakuuliza ninyoe...
Ukisikiliza kuanzia Vipindi vyao vyao vyote kuanzia vya Television ( Runinga ) hasa kile cha Clouds tv 360 na vingi vya Redio utagundua ya kwamba 99% ya mapokeo yao juu ya hii Kampeni ya Mkuu wa...
Habari za juma pili wana na binti za Mungu!
Ningependa kufahamu ni adhabu gani anastahili kupewa mtoto kwa kuzingatia kigezo cha umri. Hapa nitawagawa watoto katika makundi mawili;
0-6 years
6-17...