Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vifusi vilivyowekwa barabarani kwa muda mrefu katika Barabara ya Sogea - Machinjioni katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma na kusababisha kero kwa Wananchi vimesambazwa na kutatua kero hiyo kwa...
1 Reactions
1 Replies
686 Views
Anonymous
Mamlaka hii inayosambaza Maji ya bomba viijiji vya Lyamungo, Umbwe, Sambarai, Manushi juu na chini, Mailisita, Kimashuku, Mbatakaero, Longoi na Kinamiri, imekuwa kero kwa miezi kadhaa Sasa...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Tanzania inaungana na Umoja wa Mataifa katika utekelezaji wa lengo la 11 la Maendeleo Endelevu kwa kuhakikisha Maendeleo ya Makazi na Jamii zinakuwa salama, jumuishi, stahimilivu na endelevu huku...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai...
15 Reactions
67 Replies
3K Views
Mosi,wanaanza kukumiss pale wanapokosa mtu mbadala wa kuchukua nafasi yako pili, hauwezi kuwa imara siku zote,kuna siku huwa na uzuni na upweke pia,kwahiyo usiogope kulia,lia na utoe huzuni...
18 Reactions
41 Replies
1K Views
Kama mdau wa michezo, nina wasiwasi mkubwa kuona jinsi siasa inavyozidi kuingia kwenye michezo, hasa kwenye mpira wa miguu ambao unaunganisha Watanzania wengi. Michezo inapaswa kuwa eneo la umoja...
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amemkabidhi Anna Kitundu Mwandishi Mwendesha Ofisi ambaye ni mlemavu wa miguu pesa taslimu Shilingi Millioni moja kwa ajili...
0 Reactions
4 Replies
434 Views
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum, Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class. Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni...
30 Reactions
77 Replies
5K Views
Nawasalimu. Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia. Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano...
0 Reactions
7 Replies
599 Views
Mbunge wa CCM, Zahor Mohamed Haji wa Mwera ameitahadharisha Serikali kuacha kuendelea kukopa kwa sababu kufanya hivyo sio Sifa.
1 Reactions
5 Replies
821 Views
Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli...
1 Reactions
1 Replies
443 Views
Wakuu, Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni. Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote...
12 Reactions
92 Replies
6K Views
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa. Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la...
29 Reactions
117 Replies
6K Views
Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika. Nimemsikia mkurugenzi mkuu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA, SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU. Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe...
30 Reactions
60 Replies
5K Views
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala...
2 Reactions
135 Replies
5K Views
Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie. 1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi??? 2. Je kuna...
10 Reactions
63 Replies
8K Views
Uganda: Shirika liitwalo 'Media Focus on Africa Uganda' kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali ikiwemo JamiiForums limeandaa Tamasha la Uganda Media Week 2024 ili kuangazia mambo mbalimbali kuhusu...
3 Reactions
3 Replies
730 Views
October 17 had 27 Mwezi uliopita kuna kipindi nilipitia kipindi kigumu sana. Kwanza kabisa nilianza kwa kukohoa, nilichukulia kawaida lakini siku ya pili nakohoa sana, asubuhi nilienda kununua...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…