Huyu ni mtu ambaye anakusaidia wakati yeye mwenyewe anataka msaada,yani kuna watu ambao wao wenyewe hali zao ni za mashaka lakini bado wana moyo wa kutoa,kama wewe ni mmoja wapo ubarikiwe sana...
Habari,
Kuna mdau namfahamu alikuwa amepata nafasi ya kazi kwa kampuni tajwa apo juu, alitumiwa meseji ya maelekezo kuwa wataanza kufanya training ambayo ina shift, kuna asubuhi na usiku, uyo...
Dodoma
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza kuwekwa utaratibu ulio wazi wa kupatiwa Hati Milki za Ardhi katika ofisi zote za ardhi ili wananchi...
The World is not fair at all.
Kijana una miaka 35 lakini bado unakaa kwa wazazi au shemeji yako na huna nyumba, gari, familia , mashamba wala kamradi kokote… unategemea nini ?
Na kutoboa siku...
Dubai ni moja wapo ya majiji ya kibiashara ulimwenguni yenye ushawishi mkubwa sana wa watu kuja toka Mataifa tofauti tofauti ulimwenguni wanaenda kutembea na kufanya biashara.
Hivi majuzi mamlaka...
Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣
Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma...
Licha ya hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa katika jamii kukabiliana na vitendo vya uzalilishaji wa kingono kwa Wanawake hususani ubakaji na ulawiti, lakini katika hali ya kusikitisha baadhi ya...
Habari wana-JF
Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa.
Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana
RIP...
Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA
Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku
Mzunguko wa...
Salamu sio Sasa labda badae.
Ndugu nasikitika Sana na Sasa nahitaji ushauri maana nipo katika mtanziko wa huzuni na kutia huruma baada ya kunununiwa na rafiki yangu wa hapa kijijini.
Ifahamike...
Mimi ni Mkazi wa Arusha - Moshono, Mtaa wa Nanja, huku kwetu kuna tabia ya wizi wa Mita za Maji kiasi kwamba inakuwa changamoto kupata huduma za maji kwa sababu huwezi kujichukulia Mita mtaani...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao...
Miti hupunguza ongezeko la joto kwenye mzaingila yetu kwahiyo
tujitahidi angalau kila nyumba iwe na miti kulingana na ukubwa wa eneo lake
Miti hunyonya hewa chafu kwenye mazingila yetu na...
Sababu zinazochangia miti ya matunda ifikie miaka ya kuanza kuzaa na haizai kabisa au kuzaa kidogo
1. Udongo usio na rutuba ya kutosha: Ikiwa udongo hauna virutubisho vya kutosha, mti unaweza...
Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama
Kupanda...
Uchawa ni tabia ya mtu mzima mwenye akili timamu kujipendekeza kwa Kiongozi au kwa mtu mwenye mamlaka katika serikali au taasisi kwa namna isiyo ya kawaida.
Kwa lugha rahisi ni kumpa sifa...
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya...
Wananchi wa mtaa wa Mangua mitoghoo kwa askofu Kata ya Mitunduruni Manispaa ya Singida tumeshangazwa na matokeo ya mgombea wetu. Hakuna hata anayemtaka. Na yeye anajua.
Kinachosikitisha kura za...
Familia ya kijana aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari polisi ndani ya chumba cha mahojiano, wamelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo, ili hatua za kisheria...
Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro...