Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Copy and Paste kama ilivyokutwa; "Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam...
12 Reactions
78 Replies
5K Views
Kwa Tanzania naamini kabisa Tunaweza tukapata https://www.jamiiforums.com/threads/wazo-huru-ppps-ya-tanesco-na-wamiliki-wa-nyumba-tanzania-133-2-gigawatts.2265053/']Nishati kwa Bei nafuu bila...
1 Reactions
11 Replies
896 Views
Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani...
2 Reactions
0 Replies
338 Views
Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma, na hata mijini, kwenye hii...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Naipongeza serikali ya Tanzania kwa jitihada ilizoonyesha kwenye janga la wafanyabiashara wa kkoo wamejitahidi sana nawapongeza kwa hilo ila baadhi ya vitu haviko sawa:– Majeruhi wa kkoo hawako...
1 Reactions
0 Replies
358 Views
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya...
20 Reactions
448 Replies
39K Views
Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na...
2 Reactions
7 Replies
872 Views
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea. Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa...
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana...
62 Reactions
479 Replies
18K Views
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa...
0 Reactions
6 Replies
744 Views
Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanaJF, wajuvi wa mkoa wa Mtwara, samahani, ningependa kufahamu kodi za fremu Mtwara, haswa kwa biashara ya nguo za kiume au kike, ningependa kujua kwa yale maeneo yenye mzunguko mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
311 Views
Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu...
2 Reactions
3 Replies
631 Views
Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto. Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo...
-1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni wenye ilimu mtupe elimu
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…