Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
nimeona binadamt tuu ndo tunao changanyikiwa na kuwa vichaa lakini ukute mnyama mfano mbuzi simba nyati au umbwa ukute ana kichaa anapiga kelele pekee yake haelewaki hata asijue anapo kwenda ukute...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade.. Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji. Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya...
16 Reactions
43 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Habari za leo wadau? Naomba kujua namna ya kuangalia jina la mmiliki wa gari kupitia mtandao bila kwenda TRA kwa kuingiza detail za plate number tu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
83K Views
Wanabodi, kuna tabia inayozidi kuonekana ambapo bodi ya mikopo inatembelea ofisi za watu ikiwa na orodha ya wadaiwa wa mikopo. Cha kushangaza, orodha hii mara nyingi inajumuisha majina ya watu...
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Moja kwa moja kwenye mada,ifuatayo ndio orodha ya makabila top ten yaani cream yaliyoshikilia share kubwa ya uchumi wa Tanzania. 1. Watu wenye asili ya asia wahindi, waarabu, wapemba nk 2...
52 Reactions
175 Replies
94K Views
Brothers and sisters mliofanikiwa kudumu kazini muda mrefu, mkapanda vyeo (supervisors, managerial level etc.) na hizo kazi zikawabadilishia maisha What is the secret? Ni ushauri gani mnatoa kwa...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Jumatano, 04 Disemba 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika Mfumo wa Gridi ya Taifa leo tarehe 04 Disemba 2024 majira ya saa 04:03...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu
0 Reactions
4 Replies
329 Views
Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Mcha Hassan Mcha akipokea tuzo ya mshindi wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya kimataifa vya...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali haipendi kusikia na haitavumilia kusikia uwepo wa vitendo vya unyanyasaji kwa watu wenye ulemavu na wale...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Sikiliza vizuri msomi
8 Reactions
76 Replies
2K Views
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
August 12, 2024 Waziri wa Michezo, Dr. Damas Ndumbaro alifika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa Wananchi wa eneo hilo kudai Uwanja wa Panga ambao unatumika katika...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au...
2 Reactions
10 Replies
787 Views
Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania Limited(AOTTL) imeibuka mshindi wa jumla katika kuzalisha ajira nchini iliyotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania(ATE). Kampuni hiyo...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Dar es Salaam. Kampuni ya usambazaji na uuzaji wa huduma na bidhaa za nishati ya Puma Energy Tanzania imetwaa tuzo ya Kituo Bora cha Mafuta kinachofikika na kupatikana kwa urahisi zaidi Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Habarini, Ni ngumu sana kwa waganyabiashara wadogo kununua EFD mashine kwa bei ya zaidi ya 500,000 ambapo ikiuzwa 100,000 ni wazi TRA watakusanya kodi nyingi kwani watumiaji wa mashine hizo...
1 Reactions
4 Replies
958 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…