angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe...
Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi.
Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha...
"Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena
"Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi...
Habari wadau
Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa.
Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana.
Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana...
Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi...
Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni.
Asilimia 80 ni wanawake...
Nataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
Mara tu ukishatenda dhambi yoyote! "You will never be same"! Inakutoa hapo ulipo na kukuvua ngua na kuwa uchi.
Mwanzo 3:1-24!
Mara tu Adamu alipotenda dhambi, alitolewa na kutupwa nje ya bustani...
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale...
Wakuu
Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.
Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameendelea kutofautiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, kuhusiana na ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni...
Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Tangu Wakulima tuuze...
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi...
TANESCO inapaswa kuandaa mkutano wa wazi na wananchi, hata kama ni pale Uwanja wa Taifa, ili kuzungumza na kutatua tofauti zilizopo na Wananchi ambao ndio wateja wenu. Matamko mnayotoa mara nyingi...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Urusi Mhe. Mikhail Degtyarev na kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano...
Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni
Adamu ndiye mwanadamu wa kwanza kuishi ulimwenguni.
Kuumbwa kwa Adamu
“Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina...
Kama wanadanamu hatuwezi kuishi kila siku kwa namna moja au kuwa na furaha muda wote au kuwa na mambo mazuri siku zote, bali kuna nyakati ambazo tunakutana na mambo ambayo hatuyatarajii kabisa...
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana.
1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie...